Kweli serekali yetu imekumbana na changamoto nyingi mwaka wa 2013, lkn tutegemee kuwa mwaka wa 2014 itajitahidi na kufanya vizuri zaidi katika sekta ya elimu.