Serikali yetu ni kama ya mfalme JUHA?

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
JK kwa jinsi alivyo; alikuwa anawanadi RA, EL, CHENGE, na PESA MBILI (Kichaga besa iwiri) kuwa ni watu safi afu leo anasema ni wezi si ujuha huu? mshikaji ni ndumila kuwili.
 
Kiongozi hao ndio wamevua magamba, na alijua watavua magamba kwa hiyo wako safi kwa safari mpya! Mimi nakusikitikieni nyie ambao bado mnakumbatia magamba yenu na kutoruhusu vichwa kufikiri vema.
 
ha ha ha ha ha dah! uminikumbusha mbali sana ndg yangu!nakumbuka mfalme JUHA alikubali yeye ndo anyongwe ili aende peponi!
 
JK kwa jinsi alivyo; alikuwa anawanadi RA, EL, CHENGE, na PESA MBILI (Kichaga besa iwiri) kuwa ni watu safi afu leo anasema ni wezi si ujuha huu? mshikaji ni ndumila kuwili.
jaribu kusoma ndugu yangu alama za nyakati wana falsafa wanakubali kwamba "ukweli wa leo ndo uongo wa kesho" na kiakili binadamu wanabadilika na hii utaiona siku moja pale cdm watakaposhika nafasi hata ya mbunge wanakua na lugha ya hamasa kwa kupenda kuchaguliwa na kwa lugha zao unaweza fikiri hawa jamaa hata posho zao waweza kutumia kwa ajili ya umma, angalia sasa watakapokua madarakani gari milioni tisini (hata hawaulizi hivi walim wetu mishahara vipi inatosha? au wale mababu tulokua tukiwaliza wakati wa kampeni wako wapi na wana hali gani?) sioni ajabu mkipinga lakini wanasiasa asilimia tisini na tisa waongo, wanapenda kusema sana ya watu(ya kwao kapuni, waguse uone utavyotukanwa mfano halisi ni hapa hapa jf) hivi jiulize kama mtu apenda wananchi atawapenda kuliko baba yake mzazi? wapi na jinsi gani tulimuona mzazi wa dr wetu, ndo yule alooneshwa wakati wa kampeni? na wakati huo mwanae analala hotel za hadhi ya juu kabisa? acheni kufatilia sana maneno ya watu, kama ukitaka kufanya hivyo. tupe kwanza madhaifu yako sio tu ya wenzako? keep it up!
 
JK kwa jinsi alivyo; alikuwa anawanadi RA, EL, CHENGE, na PESA MBILI (Kichaga besa iwiri) kuwa ni watu safi afu leo anasema ni wezi si ujuha huu? mshikaji ni ndumila kuwili.

Anajua wabongo tushasahau! Si unajua tena kale ka-sifa ketu!!!!!!?
 
wamevua magamba au wamevuliwa magamba nyoka ni nyoka akivua gamba asipovua gamba bado bado anabaki kuwa nyoka hawana lolote hao ccm
 
Back
Top Bottom