Serikali yetu imeshindwa kutuza walio na vipaji na mahiri kati yetu! - Aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yetu imeshindwa kutuza walio na vipaji na mahiri kati yetu! - Aibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 16, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Leo Rais Obama ametoa tuzo ya juu kabisa ambayo serikali hiyo inaweza kutoa kwa raia - yaani, Nishani ya Uhuru (Medal of Freedom). Nishani hii hutolewa kwa watu mbalimbali ambao wametoa mchango wao katika maswali ya Diplomasia, elimu, sanaa, sayansi, biashara, uchumi n.k Wanaopewa nishani hiyo ni wale ambao wamedumu na kuwa mahiri katika mambo waliyoyafanya katika maisha yao.

  Narudia tena wazo hili la kuwatuza walio kati yetu ambao ni mahiri. Hivi majuzi tumempoteza Remmy Ongala bila kumtuza kama taifa; na wapo wengine ambao wamepotea na kwenda katika machweo yao pasipo taifa lao kusema "asante". Tunaiga mambo mengi ya kijinga kutoka Marekani (na mengine mazuri of course) kwanini tusiige na vitu vyenye tunu bora.

  Ukiondoa nishani zinazotolewa kuhusiana na masuala ya jeshi; nishani ya tuzo inayotokana na maisha yaliyotukuka yangekuwa ni kichocheo kwa kizazi kipya kuendeleza umahiri.

  'He reflects the very best of American spirit': Obama honours Bush Snr with Medal of Freedom  By Daily Mail Reporter
  Last updated at 11:24 PM on 15th February 2011  Barack Obama honoured former president George H.W. Bush with the Medal of Freedom today, telling him his 'humility and decency reflects the very best of the American spirit'.
  Bush Snr was among 15 recipients of the honour, which is presented to those who have made valued contributions to U.S. national security, world peace, culture or other significant public or private endeavours.
  Presenting the medals at a ceremony at the White House, President Obama said the recipients represented, 'the best of who we are and who we aspire to be'.
  [​IMG] Respect: The current U.S. President Barack Obama honours former premier George H.W. Bush, telling him his 70 years of service to the country is testament to the belief that public service is a noble calling


  [​IMG] Affection: President Obama kisses author and poet Maya Angelou after awarding her the 2010 Medal of Freedom. The honour is given to those who have made valued contributions to U.S. national security, world peace, culture or other significant public or private endeavours  Mr Obama praised Mr Bush for his more than 70 years of service to his country, saying his life is a testament to the belief that public service is a noble calling.
  Basketball legend Bill Russell and philanthropist Warren Buffett were honoured, along with civil rights activist Rep. John Lewis, D-Ga.

  [​IMG] Tall order: President Obama shakes hands with basketball legend Bill Russell, who towers over him
  [​IMG]
  [​IMG]

  Emotional: Civil rights activist Sylvia Mendez looks tearful as she receives the honour with cellist Yo-Yo Ma

  [​IMG] Award: Sculptor and printmaker Jasper Johns represented culture and the arts  [​IMG]
  [​IMG]

  Strength: Baseball legend Stan Musial, left, and Jewish Holocaust survivor Gerda Weissmann Klein


  [​IMG]
  [​IMG]

  Power: Congressman John Lewis D-Ga, civil rights activist and philanthropist Warren Buffett
  [​IMG]
  [​IMG]

  Poignant: Libby Little, the widow of optometrist Dr Tom Little, who was killed in Afghanistan is presented with his posthumous award, left, and Natural Resources Defense Council co-founder John Adams  [​IMG] Force for good: Founder of The International Organization on Arts and Disability Jean Kennedy Smith


  [​IMG]
  [​IMG]

  AFL-CIO President Emeritus John Sweeney, left, was presented with the medal at the White House ceremony. German Chancellor Angela Merkel was also honoured, but was not present at the event


  The 2010 Medal of Honour recipients were announced in November. Other winners include:
  - Angela Merkel, German Chancellor
  - John H. Adams, co-founder of Natural Resources Defense Council
  - Maya Angelou, poet and author
  - Jasper Johns, artist
  - Gerda Weissmann Klein, Holocaust survivor and author
  - Dr. Tom Little (posthumous), optometrist murdered on humanitarian mission in Afghanistan

  - Sylvia Mendez, civil rights activist of Mexican and Puerto Rican descent

  - Stan Musial, Hall of Fame baseball player
  - Bill Russell, professional basketball player and first African American to coach in the NBA
  - Jean Kennedy Smith, founder of VSA, a non-profit organization that promotes the artistic talents of people with disabilities
  - John J. Sweeney, President Emeritus of the AFL-CIO
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  huo utamaduni wa serikali kuwaheshimu raia wake kwa nishani ni mzuri na utawamahasisha walio wengi kwa kufanya kazi zao kwa ufanisi. Sijui na bado sijaskia na kama imetokea wana JF mtanieleza, sijaskia serikali ikiwatuza baadhi ya raia waliofanya mambo mazuri mfano; waandishi wazuri kama Ben R Mtobwa, Elvis Musiba, Shaaban Robert, charles Mloka, Anandenga na wengine wengi pia kuna wanamziki kama bi kidude,marijan rajabu, tx moshi william na wengine wengi pia kuna wanamichezo,wanaharakati, wanajamii, wanawake walioachieve, wanasayansi, wavumbuzi, na hata wanafunzi. Lakini serikali haijawahi kuwatunza.
  Ninavyoona kuhusu hili ni jambo zuri na la faraja ambalo wananchi wenye bidii watapata toka kwa serikali yao, lakini bado nina doubt! Kwa mfumo huu wa sasa wa serikali wakiintroduce hili nahisi litagubikwa na rushwa na wanaweza wakatuzwa wasiostahili kwa nchi yetu tushazoea kusikia asiyestahili akipata stahili za wanaostahili. Au linaweza likawa chini ya kiwango lisikidhi intended objective. Tukisema liwe initiated na private sector mh mama yangu! Ni balaa mfano ni kili music awards inavyosuasua.
  Hili wazo lilitolewa na mh. Mwanakijijji nalinga mkono ni zuri na very constructive ila nna wasiwasi na perfomance ya hili kama likikubaliwa na serikali litakuwa na urasimu, ila ni kitu kizuri kuwa adapted coz we have so many people to honour and recognize their activities and perfomance
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ahsante mkuu kwa wazo zuri. Kwa tz kuna tatizo la wivu kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa. Kunahitajika kazi ya ziada.
   
 4. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Problem yetu sisi ni kuwa kuna watu wana mema..lakini wengi wao Ukipima mema na Mabaya then Mabaya ni mengi......Its a good thing to copy......
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  maana wanaudhii kweli wakishakufa ndio wanaanza "oooh pengo lake haliwezi kuzibika" na bs nyingine. Leo hii yupo Bi. Kidude, serikali hata kuonesha kumuenzi haioneshi; wapo wanamuziki wangapi na wachezaji wangapi "walioiletea sifa TZ"? Kina Juma Ikangaa na Filbert Bay na wenzao vipi tunawaenzi..?
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa tz hakuna utamaduni huo hadi mtu afe ndio watasema alikuwa muhimu kwa taifa hili, nawasiwasi sana kama ikianzishwa itaanza kusafisha mafisadi kama ilivyofanya takukuru kwa change na mafisad wengne.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hivi ni kina nani ambao bado wako hai (na hata waliotangulia) ambao tunastahili kuwaenzi?
   
 8. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #8
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Mimi ninachofahamu ni kuwa watu wanaopata tuzo nchini kwetu ni wa majeshi ya ulinzi. Nishani ya juu kabisa hapa kwetu inajulikana kama 'The order of mount Kilimanjaro'(kama nipo sahihi) na hii hutolewa kwa viongozi wa nchi kama akina mandela, Samora n.k.

  Tuzo kutolewa sidhani kuwa tunatakiwa kuwa na hofu ya rushwa. Kule marekani kuna jopo la wasomi na wachunguzi wa masuala ya kijamii wanaopitia mchango wa kila mtajwa na huweza kuthibitishwa hadharani bila ya shaka. Mfano, Rep Lewis, huyu alikuwa kiongozi wa haki za binadamu kutoka Alabama, ana alama zakujeruhiwa, kuna ushahidi wa yeye kufungwa, yeye kuwa na Dr King, na katika ile hotuba maarufu ya I have a dream anaonekana bila shaka, magazeti ya 60's na 70's yanamthibitisha bila shaka. Hata vitabu vya historia vinamtaja.
  Tanzania inawezakana kufanya bila rushwa, kwa mfano John Akhwari (Olympic Mexico 1968) ametajwa na vyombo vyote vya habari duniani,fuatilieni Olympic zote muone anavyopewa heshima kwa kile alichoifanyia nchi, ubishi au rushwa itaingiaje.
  Mbaraka mwinshehe hakuna mjadala kwani anajulikani bila kuuma maneno. Shaaban Robert hata mtoto wa Form iv anajua huyu ni nani.
  Mohamedi Chuma, huyu amechezea timu ya taifa 10 yrs hadi alipoaamua kuacha.
  Kawawa anajulikana kwa kuongoza migomo dhidi ya serikali ya wakoloni.
  Kwa mifano hiyo michache rushwa itatoka wapi.!!! Kazi ya kuwapata wahusika inafanywa na wasomi kwa uwazi na ushahidi.
  Ninaona tatizo ni kuwa nani anaona wazo kama hili ni la maana? wao wapo busy kulindana wasiende mahakamani.
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wazo zuri sana ila huku kwetu watavishana mafisadi's lol
   
 10. m

  mams JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nayaunga mawazo yenu na hatujachelewa. Hii ingefaa sana ile siku ya Uhuru ingetumika kuwatunuku hao waliotajwa na wengine kwa vigezo vitakavyotolewa kwa uwazi. Ingemfanye Chifu wangu Mkwere awe bussy siku hiyo na hao wawe ndiyo waarikwa siku hiyo pale Ikulu badala ya kuarikwa mafisadi papa.
   
 11. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Si waoni.Hivi tuwaenzi wacheza mdundiko na wakata viuno majukwaani.I don't think so. I think we have other more important priorities.
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wazo ni zuri M.M wapo wengi tu, akina Kitine, J., Nyunyusa, M., Mwinamila, Zawose, H n.k...

  Lakini kama leo hii watu wanachakachua hata Ph.D. za heshima hivi huoni hapo ndio kitakua kichaka cha kutafutia ujiko kwa ndugu, jamaa, marafiki, na mafisadi????

  BTW: Wamechakachua hata zile noti mpya zilizotolewa jana jana tu na BOT, just imagine watu wanalipwa mishahara toka benki kwa noti feki!!! LOL... lazima hapa kuna mkono wa mtu mnene...:thinking:
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hata Babu Sea anastahili tuzo
   
 14. m

  mshaurimkuu Member

  #14
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Excellent! Hao wenzetu wanajua na kuenzi karama na vipaji vya wale ambao kweli wamejiotoa kwa ajili ya taifa lao na watu wao. Wanawaenzi kwa kumaanisha kutoka moyoni na wala sio kwa unafiki hata kama kasoro ndogo ndogo zaweza kuwepo.

  Ninachofikiri, hilo kamwe lisifanyike hapa kwetu angalau kwa sasa kwa mfumo huu tulio nao wa kifisadi. Usishangae "heshima" hizo wakatunikiwa mafisadi waliokubuhu kwa mshangao wa wengi. Kwa nchi inawezekana! Najua ni jambo zuri lakini angalao lisubiri angalau kizazi hiki cha nyoka kipite hata kama hatutashuhudia lakini tuwaachie watoto na watoto wa watoto wetu. Ukiangalia yanayofanyika huko Bungeni na hata kwenye vikao vya Chama yanatia aibu; kama ni vikao hivyo ndivyo vitakavyoamua nani anastahili kutunukiwa; basi Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na hili kwa sasa. Watatunukiwa mafisadi na wengine ambao nchi nzima itashangaa bila kuwa na la kufanya. Mfumo wa hovyo sana huu.
   
 15. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #15
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du wazo zuri tu Mzee Mwanakijiji, na TBL kupitia Bia ya Safari wametoa tuzo na tukapiga kura nchi nzima. Km mnavyofahamu jamaa aliyeweka Library na kusaidia majirani kusoma, alikuwa wa kwanza, akifuatilia mama kutoka Hai, Kilimanjaro na watatu ni jamaa aliyemsaidia mama kupata nyumba yake kisheria.
  Kwa mtindo wa kupitia Bia wengi wataukataa lakini wazo lako Serikali ilifanyie kz
   
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Asante kwa wazo zuri, nadhani wamelichukua.
   
 17. doup

  doup JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  nakubaliana na wewe 100 kwa 100; ushangae kukuta 90% ya watunukian ni mafisadi nguli, au ndugu zao.
   
 18. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wasiwasi wangu kwa bi kidude unaweza kupata ongezeko la wavuta bangi!!!
   
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu wenzetu pale Sauzi wanao utaratibu hata wa kuzitoa 'posthumous' - hebu cheki:

  Archibald Campbell Mzolisa Jordan (1906– 1968 )


  The Order of Ikhamanga in Gold


  Awarded to Archibald Campbell Mzolisa Jordan (1906 - 1968 ) for

  • Excellent contributions in literature
  Profile of Archibald Campbell Mzolisa Jordan


  Archibald Campbell Mzolisa Jordan was born on 30 October 1906 at the Mbokothwane mission station in the Tsolo district of Pondoland, the son of an Anglican minister. He was educated at St John's College in Umtata and Lovedale College at Alice . He was able to follow his dream of becoming a teacher when he won a scholarship to Fort Hare University College , where he obtained a BA degree in 1934 – the start of an exceptional academic, political and literary career.

  He taught for 10 years in Kroonstad, where he mastered Sesotho and was elected president of the African Teachers' Association. Some of his poetry was published in the Imvo Zabantsundu newspaper. In 1940 he started working on his only novel, Ingqumbo Yeminyana , a tragic epic about the conflict between Western-style education and traditional beliefs. This novel was to become a landmark in Xhosa literature.

  In 1945, having earlier obtained an MA on the subject of the Nguni and Sotho groups, Jordan began teaching in the Department of African Languages at Fort Hare . In 1957 – the year he achieved a doctorate with a phonological and grammatical study of Xhosa – he was appointed to a lecturer's post in African languages at the University of Cape Town .

  There he evolved a new method of teaching Xhosa to speakers of other languages and became an inspirational teacher of Xhosa culture and language, as his students were later to testify. But his tenure was brief. Like many others, Jordan became involved in opposition to the government's racial policies, and when he took up a Carnegie bursary for research work in the United States of America , he was refused a passport.

  Jordan opted to leave South Africa on an exit permit and settled in the USA , where he was made a professor in African Languages and Literature at the University of California 's Los Angeles campus, and later at the University of Wisconsin in Madison . There, after a long illness, he died in 1968.

  Yet his voice continued to be heard long after his death. In 1972 his critical study of Xhosa literature was published, and in 1973 a collection of short stories in Xhosa was translated into English under the title Tales from Southern Africa . His great novel Ingqumbo Yeminyana was published in English as The Wrath of the Ancestors (1980), in Afrikaans as Die Toorn van die Voorvaders (1990) and in Dutch as De Wraak van het Voorgeslacht (1999). In 2004, 36 years after his death, the University of Port Elizabeth conferred a doctorate in literature on him.
  In geographical terms Archibald Campbell Mzolisa Jordan travelled far afield during his time; spiritually, however, he remained a son of South Africa whose life was dedicated to examining and preserving the culture of the Xhosa people, although never to the exclusion of his fellow citizens of other origins.
  The award was collected by Dr Pallo Jordan (Son)


  Chanzo: The Presidency | Archibald Campbell Mzolisa Jordan (1906– 1968 )
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Waliotangulia:

  1. Kinjekitile Ngwale
  2. Bibi Titi Mohammed

  Waliopo:

  1. Invisible
  2. Dkt Wilbrod Slaa
   
Loading...