Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

Bababuko, onikoyaga gete !!
Sasa msemaji wa chama katamka, na chama kimeshika hatamu . Halafu waziri (serikali) naye kasema tofauti kwa mwananchi yule yule . Ashike lipi ?!

Mnahila huko nyakagwe au malawi ?!


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utata gani jaduong huyu anawaambia tafadhali msiache kuja ila kwa sasa aihirisheni safari zenu kwanza. Au mnapenda kukuza mambo tu wakati ni suala dogo.
 
Baada ya kuona hakuna ndege unayo kuja siyo??
Itakuwa hivyo, ndiyo maana anawaambia ambao wameshapanga eti wasogeze tarehe za mbele. Kama wameshafanya booking watasogeza mbele mpaka tarehe ngapi na huku hatujui ni lini wataudhibiti huko Ulaya na marekani.
 
Taja nchi yenye perfect democracy basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee kufanya makosa yanayoonekana wazi, kwa kuwa tu hakuna nchi yenye democracy kamili ?!.

Chama changu (Ccm) ninayoijua, zamani tulizikemea mataifa na tawala za ki dictator pote duniani. Lakini leo tumekuwa wa kukemewa sisi !!. Tumepotezea wapi uwezo hata wa kutambua jambo baya na zuri ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom