A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,098
- 1,498
Ujumbe utakuwa umewafikia wote
Lazima kuishi kama mashetwaini
$
Tuweke kumbukumbu sawa; Alifukuza mawaziri wawili baada ya kuona hawaendani na anachokitaka kuhusiana na hili swala la koroshowSio wanasiasa wetu, sema jiwe ndio anajifanya anajua biashara, kilimo nk. Jiwe amedhibiti vyombo vya habari kwakuwa anajua yeye ni mtu wa kuharibu hivyo hataki udhaifu wake uandikwe. Haya Madudu yote yanatokea maana hana pressure ya vyombo vya habari.
Nawaonea huruma sijui msimu ujao utakuwaje kwa wakulima wa korosho kusini. Zao linaloshikilia uchumi wao ndio hivyo tena; Nauwona umasikini mkubwa sana ukiikumba kusiniWakulina akili itawakaa sawa, heri wafanyabiashara na kangomba walikua hawapangi hayo madaraka.
Yani sasa nchi haieleweki kabisa... Viwanda vimemshinda... Kilimo nacho Kinamshindaa... Biashara ndo usisemee aisee... Frame zinafungwa kila sikuu...Hivi Jiwe anaweza fanya nini??? Au bombadiaa tu ndo sera anayowezaa...Nawaonea huruma sijui msimu ujao utakuwaje kwa wakulima wa korosho kusini. Zao linaloshikilia uchumi wao ndio hivyo tena; Nauwona umasikini mkubwa sana ukiikumba kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Amebakisha wapi kuvuruga maana sioni sehemu yeyote ya kiuchumi ambayo takimu zake zimepanda na kuzipiku za mwisho za utawala wa aliyemtangulia.Yani sasa nchi haieleweki kabisa... Viwanda vimemshinda... Kilimo nacho Kinamshindaa... Biashara ndo usisemee aisee... Frame zinafungwa kila sikuu...Hivi Jiwe anaweza fanya nini??? Au bombadiaa tu ndo sera anayowezaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Majanga tupu mkuu... Polisi kupiga Raia risasi ndo habari za siki hiziiAmebakisha wapi kuvuruga maana sioni sehemu yeyote ya kiuchumi ambayo takimu zake zimepanda na kuzipiku za mwisho za utawala wa aliyemtangulia.
Labda kwenye ongezeko la makusanyo ya kodi na hatuoni tangible effect yake kwenye uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa Tandahimba Katani Ahmed Katani amefunguka na kusema serikali imewataka baadhi ya wakulima kurudisha fedha walizolipwa baada ya korosho zao kuonekana hazina ubora
Amesema korosho hazijawahi kuwekewa madaraja tangia waanze kuzalisha korosho ila serikali ilipoamua kununua ndipo ikajitokeza korosho nyingine kuitwa za daraja la pili
Korosho zinazofikikia tani 50 zimerudishwa kwa wananchi na huku zaidi ya tani 2, 000 zikisemwa ni daraja la pili

[/QUOTE
Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi!!!! Mh.Katani wambie watu wako wawe waaminifu katika upangaji wa madaraja ili kuepukana na hasara kama hizi,mambo ya ujanja ujanja yamepitwa na wakati
Ni sawa tu kama wakiwezaMkikataa kuzihudumia tunapeleka jeshi. Nyie watu wa kusini mbona hamuelewi serikali inachotaka?
Ina maana walinunua bila ya kuhakikisha ubora?
Sasa Kwanini walishinikiza Wafanyabiashara binafsi wanunue korosho zote kwa bei Moja Elekezi wakati Korosho wametambua zina Madaraka?
Tatizo la Wanasiasa wetu wanaamini wao wana weledi wa Biashara, Uvuvi , kilimo, uimbaji, uchezaji Mpira , U DJ , n.k
Eneo pekee wanaloheshimu taaluma Ni Uchawi ndio sababu wachawi hawabughudhiwi
Mbona hili funzo na la muda mrefu mkuu, 2020 tunalo hili.Kwa serikali hii mungu ametupa funzo