Duh Sera na matamko yataathiri Kilimo chetu tusubiri mwakani tuone matokeo ya lililotokea msimu huu.Tofauti na hapo serikali ichukue jukumu la kuhudumia mashamba ya Korosho kwa makubaliano na wamiliki wa mashamba ambao wakulima maskini ambao miaka yote huhudumia mashamba yao kwa kukopa viatilifu na Fedha za kujikimu kwa kutumia malikauli.