Serikali yawasilisha mapendekezo ya bajeti ya 2022/2023 ya Tsh trillioni 41.06

Inatakiwa mbolea ziwe na ruzuku... Kila mkulima aratibiwe apewe kupon ya ruzuku ya mbolea na pembejeo zngne...

Je wametenga kiasi gani ktk kilimo, uvuvi na mifugo?
Hilo alifanya jakaya kwa zile sehemu zalishi hasa kwa chakula,mbolea zinazouzwa Sasa 120000 tulijua tunanunua 15000,magu akaja kutia na roho mbaya yake,kuweka ruzuku kwa mbolea nchi nzima haiwezekani,nchi masikini
 
Mbona kidogo tu hiyo si ni kama dollar billion 15-18 tu ukilinganisha na thamani ya nchi yetu Madini, vyanzo vya maji maliasili na kikubwa rasilimali watu karibia million 80.
Tatizo ni usimamizi. Nchi inayoendeshwa kwa msingi wa kubembelezana na kupiga madili kulingana na urefu wa kamba haiwezi kuzipata hizo. Tusubiri kuambiwa kuwa vita ya Urusi na Ukraine iliathiri mapato kwa hiyo serikali ikalazimika kukopa ili kukdhi bajeti
 
Tutafika salama kama hatutakwepa kuutambua ukweli ya kwamba nakisi ya bajeti yetu ya taifa itakamilika kupitia "donor fund" na "foreign debt". Natoa pongezi kwa waziri kwa kipaumbele chake katika kilimo.

Ila ushauri kwake, tusitegemee kilimo cha msimu, mikakati iwe katika kilimo cha uhakika cha umwagiliaji. With due respect, Mh. Mwigulu una nafasi kubwa sana ya kumrithi Rais SSH, ila una jambo moja kubwa kwako, nali ni kufanyia kazi maeneo ya udhaifu wako kuhusu "empowered altitudes" ili uweze kuwa bora zaidi ya "role model" wako JPM.

Fanyia kazi "weakness" zako ili uweze kuaminika zaidi na kuwa "presidential candidate material" zaidi ya hao wenye matamanio wenzako wa nafasi hiyo nyeti. Nafasi unayoishikilia ndiyo kete kete pekee muhimu kwako, na yenye kuonyesha kwa unaweza.
Huyu ukimtazama kwa six senses, He is a dangerous Leader ever!
 
Tatizo ni usimamizi. Nchi inayoendeshwa kwa msingi wa kubembelezana na kupiga madili kulingana na urefu wa kamba haiwezi kuzipata hizo. Tusubiri kuambiwa kuwa vita ya Urusi na Ukraine iliathiri mapato kwa hiyo serikali ikalazimika kukopa ili kukdhi bajeti
Mumebakia kupiga ramli 😬😬😬😬.

Mkuu zitapatikana tena zote kama bajeti hii inayomalizika.

Siku Mwigulu akiwasilisha bajeti uje ulinganishe hii na ile ya awali afu uje kufuta upuuzi wako hapa.
 
Kwani KILIMO KWANZA ililetaga mafanikio gani eti...?Na Mwigulu anaileta kauli mbiu hii tena kwa mlango wa bajeti...?

Na TANZANIA YA VIWANDA VYA MAGUFULI ndiyo kwa heri tena na wameamua kuizika kimoja na MwendazakeJPM...?

Na maana yake ni kuwa, vile viwanda 8,000 kila mkoa, kabla hata hatujaoneshwa vilipojengwa huku kwenye mikoa yetu, ma - CCM yameamua kutupiga changa la macho mchana kweupe, yameacha na wanakuja na kitu kingine tena...?

Hawa CCM hamna kitu, hawana jipya. Yaani CCM kwisha kazi....!!
Wewe ni fala , uliwahi kumsikia Mwendazake kwenye kampeni ya 2020 akielezea jinsi alivyoifanga Tzn kuwa ya viwanda?

Mama hana mbwembwe ila namba anawaonesha 👇

Screenshot_20220310-191102.png


Screenshot_20220310-070512.png


Screenshot_20220225-152727.png
 
yaani nchi za kiafrika ni masikini hadi zinatia huruma. imagine hii ndio bajeti ya taifa. tufanyeje aisee ili tuongeze pato la taifa? unajua hiyo bajeti yote kuna mafogo ulaya huko hiyo ni hela inayomilikiwa na familia? na kwa nchi,hiyo utakuta imetengwa yote sekta ya wizara moja tu.
 
yaani nchi za kiafrika ni masikini hadi zinatia huruma. imagine hii ndio bajeti ya taifa. tufanyeje aisee ili tuongeze pato la taifa? unajua hiyo bajeti yote kuna mafogo ulaya huko hiyo ni hela inayomilikiwa na familia? na kwa nchi,hiyo utakuta imetengwa yote sekta ya wizara moja tu.
Bado kuna watu watakwambia hiyo ni pesa nyingi sana, nadhani Unakumbuka jinsi kamkopo ka covid til.1.3 kalivyoleta makelele utafikiri ni pesa nyingi mno.

Tzn tuna watu wajinga Sana.Cha kufanya mkuu ndio kama mama anavyojitahidi kuvutia wawekezaji,kuboresha mazingira ya biashara nk Ili kukuza Uchumi.
 
Ni zaidi ya hiyo mwaka jana ilikua trilioni 78 kenya
Na tuna eneo kubwa la utawala na watu wengi kushinda Nchi zote za EAC.

Ni wazi Tzn kuna walazi wengi kuliko wazalishaji,hii ndio matokeo ya siasa za ujamaa ,porojo nyingi ,kulaumu Sana serikali na uvivu ila Kazi hapana.
 
Back
Top Bottom