Serikali yawasilisha mapendekezo ya bajeti ya 2022/2023 ya Tsh trillioni 41.06

Kichwa cha habari chahusika.

Serikali ya awamu ya Sita chini ya Iron lady Samia S.Hassan inatarajia kutumia takribani Til.41.9 kama bajeti kuu ya serikali Kwa mwaka 2022/2023..

Ikumbukwe hili ni ongezeko la asilimia 8% zaidi ukilinganishwa na bajeti inayoishia mwezi Juni ya mwaka 2021/2022.

Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu aliyaelezo hayo juzi jumamosi wakati anawasilisha mpango wa ukomo wa bajeti kuu ya Serikali.

Ikumbukwe ongezeko hili ni kubwa ndani ya mwaka mmja wa serikali ya Samia kuwepo madarakani.

Ongezeko hilo limetokana na kuimarika kwa uchumi na usimamizi wa makusanyo ya Kodi bila kusahau Imani ya Jumuiya ya Kimataifa kwa serikali.

My take-Hii manake ni kwamba maendeleo zaidi na huduma Bora zaidi kwa wananchi.Tuendelee kuchapa kazi mambo mengi mazuri yanakuja.

View attachment 2148575

View attachment 2148576
Usimamizi na ukusanyaji kodi like serious? Si mseme tu ukweli kuwa kutembeza bakuli kumesaidia kwenye hio 8% boost
 
Bajeti ya kimchongo michongo hiyo inakuja. Zama zilizopita maafisa elimu wakuu wa shule wakandarasi wa Halmashauri na wakurugenzi wamekula fedha za COVID sasa kwa bajeti hii maafisa ugani na wakurugenzi wazalishaji na wasambazaji wa pembejeo watazitafuna sana maaana nasikia bajeti ya kilimo itakuwa imenona sana.
 
Acha wale ila madarasa si umeyaona? Maji hujayaona?

Na wewe jipange kula badala ya kulalamika ukiwa unachungulia dirishani..
 
Bajeti ya kimchongo michongo hiyo inakuja. Zama zilizopita maafisa elimu wakuu wa shule wakandarasi wa Halmashauri na wakurugenzi wamekula fedha za COVID sasa kwa bajeti hii maafisa ugani na wakurugenzi wazalishaji na wasambazaji wa pembejeo watazitafuna sana maaana nasikia bajeti ya kilimo itakuwa imenona sana.
Hamna cha tofauti ni business as usual kwa sasa!
 
Hamna kipya cha kunionesha we mbugila mbugila, labda uchomaji wa kishamba wa masoko usiku!
Wivu utakuua 😁😁.

Hamna kipya Cha kuonyesha 👇

Screenshot_20220313-090021.png

Screenshot_20220311-134340.png

Screenshot_20220311-134201.png

Screenshot_20220309-220600.png

Screenshot_20220309-221958.png

Screenshot_20220308-101840.png

Screenshot_20220308-101826.png

Screenshot_20220308-101103.png

Screenshot_20220308-101116.png
 
Back
Top Bottom