Chama Cha Mbumbumbu idiots partyVyeti vya nini? Yaani serikali iliyo na wataalamu wa IT imeshindwa kutengeneza data base inayoonyesha Name, ID/Paassport ukifanya scan kwa simu yako basi inaonyesha "Inoculated" very simple. Hivi tupo wajima kiasi gani hii nchi??
Vyeti vya korona vinasaidia nini ama vina faida gani?
Vinazuia mtu kufa kwa corona ama?
Hii ipo USA, Philippines, na sehemu kibao lakini still Access to database ipo na kazi inafinyika na watu wanapewa utambulisho kama wa yule alie chanjwa. Huduma inapatikana kwa $200 tu.Vyeti vya nini? Yaani serikali iliyo na wataalamu wa IT imeshindwa kutengeneza data base inayoonyesha Name, ID/Paassport ukifanya scan kwa simu yako basi inaonyesha "Inoculated" very simple. Hivi tupo wajima kiasi gani hii nchi??
Itafikia muda hutaweza kuingia nchi au hata ofisi fulani bila uthibitisho wa chanjo, sasa wasiotaka kuchanja itabidi watafute njia ya kuwa na huo uthibitisho.Vyeti vya korona vinasaidia nini ama vina faida gani?
Vinazuia mtu kufa kwa corona ama?
Hatari snMiradi yao ya ovyo,wizara ya afya inaifuatia wizara ya maji kwa wizi wa fedha za walipa kodi wa nchi hii.
Mkuu usijadanganye watu kibao wanaenda kwa hiari kuchanja.Ingekuwa chanjo imekosa wateja wangekuwa wanachanja Kila mtu,lakini ukienda Kama huna vigezo huchanjiLeo umeipinga serikali.
Watu watachanjwa sababu ya huduma tu,na sio kwa ajiri ya corona.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu kujiingiza kwenye mkenge wa kujipatia vyeti feki vya Covid-19.
Katibu Mkuu amesisitiza kuwa kuwa Wizara ya Afya ndio pekee inatoa vyeti vya chanjo ya Covid-19 na kwa sasa iko kwenye mchakato wa kuandaa vyeti vya wote waliopata chanjo hivyo wasidanganywe kupata vyeti feki
Na pia ameendelea kuwaonya watu wote ambao hawajachanjwa chanjo ya Corona wasiendelee na mipango ya kujipatia vyeti feki vya chanjo kwani wakibainika watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Chanzo: Magazeti
My take:
Katika hili Wizara ya Afya inatakiwa kuwajibika kabisa kwenye huu uzembe unaopelekea watu kuanza udanganyifu kwani walitakiwa kujiandaa kabisa kabla ya kuletwa chanjo , inakuwaje watu wachanjwe halafu wasubiri vyeti?
Kwanini mfumo ule wa utoaji wa vitambulisho vya kupigia kura usingelitumika? Kwanini tusiseme hii ni hujuma? Kweli Waziri na Katibu wake wako makini kweli?
Hakuna cheti halali cha chanjo kilichowahi kutolewa baada ya kupima, ni usanii mtupu. Wanafanya hivyo huku wakiujua ukweli na siri iliyo nyuma ya chanjoSerikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu kujiingiza kwenye mkenge wa kujipatia vyeti feki vya Covid-19.
Katibu Mkuu amesisitiza kuwa kuwa Wizara ya Afya ndio pekee inatoa vyeti vya chanjo ya Covid-19 na kwa sasa iko kwenye mchakato wa kuandaa vyeti vya wote waliopata chanjo hivyo wasidanganywe kupata vyeti feki
Na pia ameendelea kuwaonya watu wote ambao hawajachanjwa chanjo ya Corona wasiendelee na mipango ya kujipatia vyeti feki vya chanjo kwani wakibainika watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Chanzo: Magazeti
My take:
Katika hili Wizara ya Afya inatakiwa kuwajibika kabisa kwenye huu uzembe unaopelekea watu kuanza udanganyifu kwani walitakiwa kujiandaa kabisa kabla ya kuletwa chanjo , inakuwaje watu wachanjwe halafu wasubiri vyeti?
Kwanini mfumo ule wa utoaji wa vitambulisho vya kupigia kura usingelitumika? Kwanini tusiseme hii ni hujuma? Kweli Waziri na Katibu wake wako makini kweli?
Haya matukio ndani ya michakato yote yenye kuambatana na wizi, kugushi ubabaishaji na vitu batili ndiyo haswa kinaonyesha taswira halisi ya CCM jinsi ambavyo kinaendesha shughuli za kiserikali. Motisha kubwa kuwa ni wizi na kujali matumbo yao.Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu kujiingiza kwenye mkenge wa kujipatia vyeti feki vya Covid-19.