Serikali yawanyang'anya mashine za maji wakulima na kusababisha kukauka kwa ekari 200 za vitunguu

  • Thread starter Return Of Undertaker
  • Start date

Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
3,520
Likes
16,330
Points
280
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
3,520 16,330 280
Kazi ya mkuu wa wilaya
screenshot_2016-11-27-20-33-24-png.440378
screenshot_2016-11-27-20-33-24-png.440378
screenshot_2016-11-27-20-24-21-png.440379
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,766
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,766 280
Alafu unawaambia watu wajiajiri kwa mazingira kama haya?.....

Roho mbaya ya mkuu Wa nchi imeambukizwa kwa viongozi wote......

Ajira hakuna,watu wajiajiri mnawahujumu,Rambi Rambi mfukoni,......

Watasomeshaje 80% ya watoto wao waliokosa mikopo vyuoni?..........
 
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
12,941
Likes
6,126
Points
280
Diva Beyonce

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
12,941 6,126 280
Kazi kweli kweli awamu hii kiboko inataka raia waishi ka mashetani kwa kuwakomoa
 
Gut

Gut

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Messages
2,812
Likes
3,268
Points
280
Gut

Gut

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2016
2,812 3,268 280
Hongera serikali kwa kuchikua uamuzi sahihi.Sisi ni matajiri hatupaswi kufanya kazi.Ni kula na kwenda gym.
 
V

viwanda

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
699
Likes
744
Points
180
Age
33
V

viwanda

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
699 744 180
Nimeona mkuu . Mama tumefikia hivi 2020 siyo mbali ndugu zangu
 
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
4,588
Likes
2,672
Points
280
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
4,588 2,672 280
Dah!! Kweli msimu huu ni kutiana umaskini tu.
 
MAKA Jr

MAKA Jr

Senior Member
Joined
Nov 17, 2016
Messages
135
Likes
72
Points
45
Age
34
MAKA Jr

MAKA Jr

Senior Member
Joined Nov 17, 2016
135 72 45
Hakuna. Mungu hayupo. Tufanye dhambi halafu tumsingizie Mungu? Inaendelea kula kwetu.
 
jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
249
Likes
328
Points
80
jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
249 328 80
Iko hivi jamani, kiutaratibu mtu anapochukua/kuhitaji maji toka mtoni ,ziwani,chemchem na hata tu kuchimba kisima chake mwenyewe, NI LAZIMA apate kwanza kibari cha kutumia maji (water permit).

Kwakuwa wao wapo kwenye kikundi kilichosajiliwa, walitakiwa (na wanajua) kwenda Ofisi ya Bonde la mto Pangani (Moshi) kwa ajili ya kupewa ridhaa ya kutumia kiasi MAALUMU cha maji toka mtoni kwa kuangalia ukubwa wa eneo lao na aina ya mazao wanayolima (Vitunguu/mbogamboga).

Hiyo ni sheria kabisa ya maji iliyopitishwa na Bunge. Usipowabana, wanachukua pump kubwa tena nyingi na wanyonye maji mtoni bila utaratibu,kitu ambacho hukausha au kupunguza maji mtoni.

Ikumbukwe pia, upande wa chini ya mto (downstream point) kuna watumiaji wengine wa mto na kuna viumbe hai wanaotegemea huo mgao wa maji.

Mfano:

Ziwa jipe (Wilayani Mwanga) ndo chanzo cha mto Kifaru ambao hupeleka maji Bwawa la Nyumba ya Mungu ambapo ndo mto Pangani (unaoenda mpaka baharini) umeanzia hapo.

Sasa ukiwaruhusu ovyo wananchi wakanyonya maji ya mto Kifaru, nn kitatokea?

Tatizo tu elimu na mkazo vitolewe kwa wananchi hao,siyo kulalama.
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,742