Serikali yawaacha Solemba waliopiga Kikombe LOLIONDO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yawaacha Solemba waliopiga Kikombe LOLIONDO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GHOST RYDER, Jul 12, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mh Naibu waziri wa Afya Lucy Nkya kalihabarisha bunge kuhusu LOLIONDO jioni hii bungeni kuwa Ufanisi wa Dawa utachukua Muda kuweza kuthibitisha kama inaponyesha ama la'

  Kwa sasa watafiti wa NIMR bado wanafanya utafiti na kufuatilia kwa kushirikiana na wataalam wengine wa serikali na itachukua muda wa mwaka mmoja na nusu hivi ili kuhakikisha matokeo ya uhakika wa Tiba hiyo unabainika.

  Imani ndio itakayokuponya na serikali kama wanasayansi hawawezi kupima imani ya mtu, dawa ni salama, matayarisho ni salama na Ufanisi wa Dawa hawana la kusema hadi mwaka mmoja baada ya Utafiti kamalizia Mama Nkya

  Sasa kulikuwa na haja gani ya kuwekeza nguvu na Kampeni yote hiyo kama wao wakiwa kama watafiti na wanasayansi kuishauri jamii vizuri.

  Huu ni udhaifu mkubwa wa serikali ya CCM na hapa kwa mlango wa uani inawaruka wananchi wake kama wao na LOLIONDO ni kila mtu na imani yake wakati walifungua hadi vituo vya kukusanya watu kule Bunda na Babati.

  Na hii ni baada ya matokeo ya kusikitisha kama nilivyotahadharisha jana katika thread yangu, Jamani viongozi wahurumieni watanzania.

  ADIOS

  G.R
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Katika maswala ya kiimani serikali haiwezi kufanya lolote zaidi ya kuwasaidia wananchi kufanya ibada zao za kiimani. Hadi hapa sioni tatizo kabisa ambalo tunaweza kuilaumu serikali. Lets say serikali ingezuia tiba ya kiimani ya Loliondo ingekuwaje? maanake waziri kasema wazi kwamba serikali kama wanasayansi hawawezi kupima imani ya mtu..

  Tatizo ni sisi wenyewe, tunakwenda kwa waganga wa kila aina acha mbali huyu wa Loliondo na wameruhusiwa kutoa tiba zao kwa wananchi, matatizo yakitokea hatukosi sababu maanake nakumbuka nilipokuwa Bongo kuna wagonjwa walitoroka Ocean road kwenda Loliondo wengine hawakufika, wengine wamekufa baada ya kupata kikombe lakini tulizua sababu kuwa ndio tiba ilivyo hakuna guarantee ya ponya - Kuwa hata Ocean road/Muhimbili (sayansi) kwenyewe wagonjwa wanakufa vile vile!..Swala lilkabadilika kuwa waliokufa imani zao ndogo!
  Jamani hata watoto wa miaka 6 wanapimwa imani? kaazi kweli kweli!
   
 3. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kweli...................., Lakini hapa serikali inatalaumiwa kwa lipi jamani? nakumbuka wakati kikombe kimeshika kasi ilikuwa ni vigumu kuchange mind za watanzania, hivyo basi tujipe muda huo ili ithibitike.
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Dahh! Kikombe.
   
 5. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,030
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  dah..!!babu ni mnoma sana kwa ujasiliamali.bg mwasakafuka
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ninachojua baba yangu alikuwa na kisukari kwa miaka 19 ..nilimpeleka kwa babu akiwa hoi na sasa amepona.afya imeudii anakula pension ya uzeeni kwa raha.....hayo mengine mimi sijui..
   
 7. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mimi nisichoelewa ni kwa nini waziri wa afya anasema serikali inaendelea kupima efficacy ya dawa ya babu.
  Mwenyewe waziri kasema uponaji unategemea imani, na kakiri imani haiwezi kupimwa na serikali. Sasa wanachoendele kuresearch ni kitu gani? Si hizo resource za research hiyo zingepelekwa kwenye masuala yenye tija zaidi?
   
 8. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  poleni kwa ujinga wenu wa kuamini ujinga!
   
Loading...