Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,265
- 3,177
Hatari sana mkuu.Na ameshafanya uchunguzi na kugundua ni hujuma!na wala sio electric fault au sababu nyingine,sasa nimeelewa why hatuhitaji idara ya forensic ndani ya idara zetu za kiusalaama
Hatari sana mkuu.Na ameshafanya uchunguzi na kugundua ni hujuma!na wala sio electric fault au sababu nyingine,sasa nimeelewa why hatuhitaji idara ya forensic ndani ya idara zetu za kiusalaama
Wachina wanelitaka soko kwa muda mrefu bila mafanikio.mama Samia anasukumwa kuwa mkatili!
Unapohujumu soko kuu nchini kama la kariakoo ni wazi unatenda tendo la kigaidi kwani mfumuko wa bei kariakoo ni mfumuko wa bei Tanzania.
iwapo ikithibitika kuna uhujumu lazima wahisika wachukuliwe hatua Kali