Serikali yatumia BIBLIA kumaliza mgomo wa Madaktari

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,730
155,414
Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.
Hatimaye baaada ya kipigo cha Dr. Steven Ulimboka , unabii umetimia.
Mshikamano na umoja wa madaktari umesambaratika.
MADAKTARI WAMEREJEA RASMI KAZINI.
HILI NI PIGO JINGINE KWA WATANZANIA WANAOTAKA HUDUMA BORA ZA AFYA
 
Unatoa taarifa hizi ukiwa hapo Hospitali ya rufaa LUGALO ama??
 
Wametumia mbinu ya kuwatisha,kuwasambaratisha. wengine walishapewa barua za kufukuzwa kazi
 
Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.
Hatimaye baaada ya kipigo cha Dr. Steven Ulimboka , unabii umetimia.
Mshikamano na umoja wa madaktari umesambaratika.
MADAKTARI WAMEREJEA RASMI KAZINI.
HILI NI PIGO JINGINE KWA WATANZANIA WANAOTAKA HUDUMA BORA ZA AFYA
Kama kweli wamerudi basi wlimu hata wasisubutu kugoma...
 
Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.
Hatimaye baaada ya kipigo cha Dr. Steven Ulimboka , unabii umetimia.
Mshikamano na umoja wa madaktari umesambaratika.
MADAKTARI WAMEREJEA RASMI KAZINI.
HILI NI PIGO JINGINE KWA WATANZANIA WANAOTAKA HUDUMA BORA ZA AFYA
Ndio unataka kutuambia kwamba mgomo kwishnei...? Sometimes ubabe m'baya lakini....
 
Kutaka kummaliza Ulimboka walitumia nini kama siyo unafiki?
 
Back
Top Bottom