chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Serikali imetoa hadi juni 30 (siku 14) mwaka huu kila mwanafunzi awe anakaa kwenye dawati na madarasa mazuri hayo yameelezwa na waziri nchi wa ofisi ya rais TAMISEMI Mh George Simbachawene wakati akizindua tawi la DCB bank litwaalo Benjamini Mkapa.
Amezitaka mamalaka zote na serikali za mitaa kuhakikisha madawati hayo yanakuwa kwenye vyumba vizuri vyenye sakafu madirisha na milango amesema haiwezekani watoto wawe wanakaa chini wakati wanakusanya mapato mengi