Ripoti iliyosomwa na Lukuvi hivi punde amehitimsha kwa kutoa hiyo Bingo ya sh milioni 100 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa wahusika wa milipuko Arusha.
serikali makini ya CCM baada ya kuunda tume makini inayoonfgozwa na CJHAGONJA na MULUNGU, sasa imeahidi milioni mia kwa atayemfichua aliyelipua bomu kwenye kampeni za chadema katika eneo la SOWETO.
hii naona ni kama fisi kuunda tume na kutangaza zawadi kwa aliye muua swala. hebu TUTAFAKARINI hapa enyi Wanaharakati, Magamba na Magwanda.