Serikali yatoa sh. 100m kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa magaidi wa Arusha

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Ripoti iliyosomwa na Lukuvi hivi punde amehitimsha kwa kutoa hiyo Bingo ya sh milioni 100 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa wahusika wa milipuko Arusha.

serikali makini ya CCM baada ya kuunda tume makini inayoonfgozwa na CJHAGONJA na MULUNGU, sasa imeahidi milioni mia kwa atayemfichua aliyelipua bomu kwenye kampeni za chadema katika eneo la SOWETO.
hii naona ni kama fisi kuunda tume na kutangaza zawadi kwa aliye muua swala. hebu TUTAFAKARINI hapa enyi Wanaharakati, Magamba na Magwanda.
 
LUKUVI LUKUVI...Hivi kwanini kila jambo kwao hutanguliza fedha,na ndio maana rushwa imekuwa mbele ktk nchi hii sababu msingi wake ndio huu kila kitu fedha.kuna umuhimu gani wakuwa na vyombo vya usalama sasa???eeh ndiyo bora visiwepo ili itumike hiyo mbinu aliyoisema Lukuvi.
 
Kuna wengi walikuwa wanaleta taarifa holela hapa haya sasa nafasi hiyo ya kupeleka taarifa ya uhakika na unatajirika.
 
Hawa hapa. Nirushie iyo hela yenu ya lawalawa fasta kama mpo serious. Namba yangu ya mpesa ni maalum hii hapa 788743 38557. Mbaya wenu huyu hapa:

Mwigulu alikuwa Arusha kwa Kazi Maalum ya Serikali ya Watu China. Hiyo Kofia aliyoivaa Mkoani Mbeya na Arusha ni Kofia ya Jeshi la China linaloitwa The Chinese Red Army.

Yuko kwenye kazi Maalum ya Jeshi la China. Mwigulu ndo huyu hapa:

View attachment 97862

Waliomtuma hawa hapa:


View attachment 97865
View attachment 97864
View attachment 97863View attachment 97866



Ripoti iliyosomwa na Lukuvi hivi punde amehitimsha kwa kutoa hiyo Bingo ya sh milioni 100 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa wahusika wa milipuko Arusha
 
Wasinge tumia polisi na mabomu ya machozi na risasi mngekuta huyo mtu yupo kwenye byombo vya usalama, walitisha watu ili lengo lao litimie, kama mnataka amani ya kweli ccm acheni kudhoofisha upinzani kwa kutumia polisi,
 
Kufa kufaana
Watu wanamwagwa damu zao badala ya serikali kusimamia amani na ukamatwaji wa muhusika,wao wanatanza kumwaga mamilion.watu si watafanya mtaji huo kwa style hii??

Wanazitoa wapi pesa hizo,ziko kwenye bajet ipi??

Pumbavu CCM...
 
Siyo kutumia keyboard nyuma ya JF Id peke yake. Serikali imewapa changamoto ya kuvua JF ID na kujipatia Tsh 100,000,000.

This is life changing bonanza.

Kuendelea kupiga kelele na kudai unamfahamu aliye nyuma ya mlipuko ni kuendeleza uzandiki, majungu na fitina ikichukuliwa kuwa Tsh 100,000,000 is out for grab.
 
kama ni kweli wananchi waliwashambulia polisi. ukamataji wa mhusika au wahusika utakua mgumu
 
Sisi hatumjui, hiyo hela wampe zawadi Mwigulu....

tuache kupayuka. mwenye ushahidi na mwigulu au mtu mwengine, aupeleka polisi. kuna watu wanadai wana mkanda unaoonesha mhusika. hii ndiyo fursa muhimu ya kupeleka ushahidi. ukipeleka ushahidi faida zitakua mbili. kwanza mhalifu au gaidi atajulikana na kukamatwa, na pili utapata mamilioni ya fedha.
 
Back
Top Bottom