Serikali yatoa rukhsa.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Hatimaye serikali imetoa rukhsa kwa watu binafsi kuanzisha makampuni ya uzalishaji umeme na kuiuzia serikali.Tamko hili limetolewa na waziri wa nishati na madini,william ngeleja akidai kwamba yote hii ni mikakati ya kuhakikisha Tanzania inapata nishati ya umeme ya kutosha.
 
Tunaelekea kuliacha giza. Kwanini wasiwauzie wananchi direct? Ili wapange bajeti wenyewe kama yalivyo makampuni ya simu.
 
Copy Na Paste. Mijamaa ya CCM mivivu kweli kufikiri imeamua kuiga sera ya CHADEMA. Bao jingine hilooo
 
Back
Top Bottom