Serikali yatoa namba ya simu ya Bure kuripoti wahujumu sukari

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
288
SERIKALI imetoa namba ya simu bure itakayotumika kutoa ripoti ya wahujumu wa sukari, namba hiyo ni 0754
38 79 28, ambayo itakuwa wazi kupokea taarifa za walanguzi wa sukari

source Mwananchi Communications.
 

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
288
si ndo hapo sijui kwann wasingetafuta namba rahisi hii si mpaka uwe umeisave kwenye simu tena kwa jina la 'wahujumu sukari'
 

Zinedine

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,188
694
Halafu wakisharipotiwa kama wahujumu Uchumi wa Sukari watafanywa nini? Kama wahujumu wa wanyama hawajafanywa kitu, wahujumu wa BOT hawajafanywa kitu, wahujumu wa mauaji ya pemba na Arusha hawajafanywa kitu, wahujumu wa Umeme uliyosababisha kushuka kwa huo uzalishaji wa Sukari kwa kukosa Umeme hawakufanya kitu, wahujumu Dowans hawakufanywa kitu, wahujumu wa ATCL hawakufanywa kitu, wahujumu wa Reli hawakufanywa kitu, wahujumu wa uchakachuaji mafuta hawakufanywa kitu, wahujumu wa uuzaji nyumba za serikali hawakufanywa kitu, wahujumu wa Uda hawakufanywa kitu, wahujumu wa Bandari hawakufanywa kitu, wahujumu wa TTCL hawakufanywa kitu na hata wahujumu wa Demokrasia hawafanywi kitu, leo wawaonee hao walaguzi wa sukari! Hiyo namba ni kwa ajili ya kudhibiti watakaopiga simu kuripoti tukio hilo ukibisha wee piga kama hujakamatwa kuwekwa segerea ili uhojiwe mpaka watu wanakamilisha dili lao! uchekwe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom