Serikali yatoa bilioni 250 kwaajili ya miradi ya Halmashauri ya Jiji la Dar

sky walker

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
1,160
824
Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam wameendelea kula matunda ya serikali ya awamu ya tano baada ya Rais Dr. John Magufuli kutoa zaidi Shilingi Billion 250 kwaajili ya utekelezaji wa Miradi Mkakati ya kuziwezesha Halmashauri za jiji hilo kujiendesha zenyewe ili kupunguza utegemezi wa fedha kutoka Serikali kuu.
WhatsApp-Image-2018-05-10-at-17.56.21.jpeg

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema miongoni mwa miradi itakayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa kituo cha kisasa cha Mabasi ya Mikoani Mbezi Luis kitakachogharimu zaidi ya shilingi Billion 50 ambacho ujenzi wake utaanza Mwezi June na kuchukuwa miezi 18 kukamilika.
WhatsApp-Image-2018-05-10-at-17.56.00.jpeg

RC Makonda amesema jengo hilo litakuwa na gorofa tano ambapo kituo hicho cha kisasa kitakuwa na uwezo wa kuchukuwa Mabasi 200 na Maegesho magari 300 (Underground parking) ambapo ndani kituo kutakuwa na huduma zote muhimu ikiwemo Hotel, Hostel, Shopping Mall,Maduka, Migahawa, sehemu za mapumziko, Kituo cha Polisi, Bustani, Bank, Vyoo vya kisasa pamoja na Ofisi za kampuni za Magari.
WhatsApp-Image-2018-05-10-at-17.55.56.jpeg

Aidha RC Makonda amesema miradi mingine ni Ujenzi wa Soko la kisasa Kisutu litakalogharimu shilingi Billion 16, Kituo cha Mabasi Chamanzi Mkondogwa, Ujenzi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti yenye thamani ya Billion 8.5 itakayokuwa na uwezo wa kuchinja Ng’ombe 1,000 kwa siku hali itakayoondoa uagizwaji wa Nyama Nje ya nchi kwaajili ya kuuzwa kwenye Hotel na Supermarket ambapo kukamikika kwa mradi huu utawezesha wazawa kupata soko la nyama la uhakika, Ujenzi wa Soko la Mburahati Billion Billion 2.7 kituo cha Daladala Tuangoma, Soko la Kibada Billion 14 pamoja na miradi mingine mingi ikiwemo Fukwe za Coco, Ujenzi wa Shopping Mall na miradi mingine lukuki inayofanywa na Rais Magufuli kwenye Mkoa wa Dar es salaam.

RC Makonda amemshukuru Rais Magufuli kwa kwa dhamira njema ya kusaidia kutatua kero za wananchi ambapo amewasihi wananchi wa Dar es salaam kukaa mkao wa kula kwa kuchangamkia fursa za ajira zitakazotolewa kwenye miradi hiyo.

HABARI ZAIDI SOMA >>>>HABARI ZERO
 
SGR itaanza kazi mapema. Huu mradi wa stand ya mabasi ya be in Luis yatakuwa yanakwenda wapi? Kwani mbeya na iringa wataanzia morogoro baada ya kutoka dar kwa SGR. Mikoa ya kasikazini wataanzia chalinze baada ya sgr kuwapunguzia umbali wa km zaidi ya 100 kutoka dar to chalinze. Mwanza.dodoma.morogoro.singida.bukoba.mara.kahama.tabora.kigoma watatumia SGR. Huu mradi wa hii stand utakuwa White elephant.
 
Safi. DCC pia ingelinunua magofu ya Kawe (Tanganyika packers) na kufanya lile eneo kuwa stendi ya dala dala huku lile jengo likimaliziwa na kupata shopping malls.
images (4).jpeg
 
Tatizo miradi yao hawakamilishi....wakianza na hii kesho wanaibuka na mingine hii inawekwa kapuni
 
Hizi sio fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri ikiwemo property tax ambazo ukusanywa na TRA kwa niaba ya halmashauri kweli?
 
Wananchi tukipata huduma safi sisi hatuna malumbano na mtu. Lakini usafiri wa mwendo kasi Dsm umezidi kero sasa. Waboreshe au waruhusu Daladala kwa muda mfupi ili wenye mabasi wajipange vizuri.
 
SGR itaanza kazi mapema. Huu mradi wa stand ya mabasi ya be in Luis yatakuwa yanakwenda wapi? Kwani mbeya na iringa wataanzia morogoro baada ya kutoka dar kwa SGR. Mikoa ya kasikazini wataanzia chalinze baada ya sgr kuwapunguzia umbali wa km zaidi ya 100 kutoka dar to chalinze. Mwanza.dodoma.morogoro.singida.bukoba.mara.kahama.tabora.kigoma watatumia SGR. Huu mradi wa hii stand utakuwa White elephant.
Mkuu mabasi bado ni muhimu katika majiji yanavyoendelea kukua. Shangaa hata UK na America bado huduma ya mabasi ipo pamoja na kuwa na treni za kisasa. Hayo ndo maendeleo.
 
Kuna mikoa mingi haina hata stand ya maana ya 500ml lakini kila kukicha na kila siku pesa inazidi kumwagwa dar. Hivi sehemu nyingine za nchi zitanyanyukaje ama mnasubiri ziletwe winch za kuinyanyua hiyo mikoa?
 
-Kwa mipango na michoro(illustrations) tupo vizuri.
-Utekelezaji(implementation) ni negative kabisaa.

Kwani kuna kitu Bashite alianzisha kikafikia lengo.
 
Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam wameendelea kula matunda ya serikali ya awamu ya tano baada ya Rais Dr. John Magufuli kutoa zaidi Shilingi Billion 250 kwaajili ya utekelezaji wa Miradi Mkakati ya kuziwezesha Halmashauri za jiji hilo kujiendesha zenyewe ili kupunguza utegemezi wa fedha kutoka Serikali kuu.
WhatsApp-Image-2018-05-10-at-17.56.21.jpeg

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema miongoni mwa miradi itakayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa kituo cha kisasa cha Mabasi ya Mikoani Mbezi Luis kitakachogharimu zaidi ya shilingi Billion 50 ambacho ujenzi wake utaanza Mwezi June na kuchukuwa miezi 18 kukamilika.
WhatsApp-Image-2018-05-10-at-17.56.00.jpeg

RC Makonda amesema jengo hilo litakuwa na gorofa tano ambapo kituo hicho cha kisasa kitakuwa na uwezo wa kuchukuwa Mabasi 200 na Maegesho magari 300 (Underground parking) ambapo ndani kituo kutakuwa na huduma zote muhimu ikiwemo Hotel, Hostel, Shopping Mall,Maduka, Migahawa, sehemu za mapumziko, Kituo cha Polisi, Bustani, Bank, Vyoo vya kisasa pamoja na Ofisi za kampuni za Magari.
WhatsApp-Image-2018-05-10-at-17.55.56.jpeg

Aidha RC Makonda amesema miradi mingine ni Ujenzi wa Soko la kisasa Kisutu litakalogharimu shilingi Billion 16, Kituo cha Mabasi Chamanzi Mkondogwa, Ujenzi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti yenye thamani ya Billion 8.5 itakayokuwa na uwezo wa kuchinja Ng’ombe 1,000 kwa siku hali itakayoondoa uagizwaji wa Nyama Nje ya nchi kwaajili ya kuuzwa kwenye Hotel na Supermarket ambapo kukamikika kwa mradi huu utawezesha wazawa kupata soko la nyama la uhakika, Ujenzi wa Soko la Mburahati Billion Billion 2.7 kituo cha Daladala Tuangoma, Soko la Kibada Billion 14 pamoja na miradi mingine mingi ikiwemo Fukwe za Coco, Ujenzi wa Shopping Mall na miradi mingine lukuki inayofanywa na Rais Magufuli kwenye Mkoa wa Dar es salaam.

RC Makonda amemshukuru Rais Magufuli kwa kwa dhamira njema ya kusaidia kutatua kero za wananchi ambapo amewasihi wananchi wa Dar es salaam kukaa mkao wa kula kwa kuchangamkia fursa za ajira zitakazotolewa kwenye miradi hiyo.

HABARI ZAIDI SOMA >>>>HABARI ZERO
Kwanza hizi ni porojo na sasa tu pesa haziwezi kutoka kwa wakati. Hata zikitoka sio pesa za mafuriko Bali ni kodi yetu na sio hisani ni kutimiza wajibu
 
Sio tembo
SGR itaanza kazi mapema. Huu mradi wa stand ya mabasi ya be in Luis yatakuwa yanakwenda wapi? Kwani mbeya na iringa wataanzia morogoro baada ya kutoka dar kwa SGR. Mikoa ya kasikazini wataanzia chalinze baada ya sgr kuwapunguzia umbali wa km zaidi ya 100 kutoka dar to chalinze. Mwanza.dodoma.morogoro.singida.bukoba.mara.kahama.tabora.kigoma watatumia SGR. Huu mradi wa hii stand utakuwa White elephant.[/QUOTE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom