Ishengoma hizi kauli zako kusema kweli zimepitwa na wakati!Kwa kifupi wewe unapendelea nchi yetu ibaki dormant!Unataka ikwame tu!Wananchi wamelala na wewe unazidi kushabikia usingizi huo!Ikatuchukua watanzania Mnorway kuhoji haki zetu...na mwingereza kutuvumbulia mfisadi.. na sasa inatuchukua mganda kuhoji haki zetu!Which side of the history are you going to be Mr Ishengoma?
kauli gani, bwana Mushi, kukataa kusupport kwa sababu hamna hoja za msingi, kukataa kwa sababu kuna njia nyingine zainazoweza kusaidia vijana wetu waendelee kusoma kwa amani, kukataa kutokubaliana na vitendo vya kuhuni?
nani alijua kuwa uma unaweza kutumia bongo kuleta mageuzi badala ya vita na kumwaga damu, nani alijua kuwa bunge letu lingeweza kumshinikuza waziri mkuu wetu ajiuzuru na wafauasi wao kwa amani?
ninajua kuwa sir plato aliwahi kusema kuwa kuna watu walioumbwa kwa asili ya kupigana pigana na hivyo kudhani kuwa jibu la hayo yote ni kipigo tu, na wengine walizaliwa kwa kuongea na kufikiri kuwa wanaotumia lugha iliyojengeka inaweza kufanya bora kuliko kupigana. hata hivyo tuangalie kwa makini kila theory na wala sio kumeza tu eti kwa sababu tumeambiwa hivyo.