Serikali yatimua wanafunzi UDSM

Ishengoma hizi kauli zako kusema kweli zimepitwa na wakati!Kwa kifupi wewe unapendelea nchi yetu ibaki dormant!Unataka ikwame tu!Wananchi wamelala na wewe unazidi kushabikia usingizi huo!Ikatuchukua watanzania Mnorway kuhoji haki zetu...na mwingereza kutuvumbulia mfisadi.. na sasa inatuchukua mganda kuhoji haki zetu!Which side of the history are you going to be Mr Ishengoma?

kauli gani, bwana Mushi, kukataa kusupport kwa sababu hamna hoja za msingi, kukataa kwa sababu kuna njia nyingine zainazoweza kusaidia vijana wetu waendelee kusoma kwa amani, kukataa kutokubaliana na vitendo vya kuhuni?

nani alijua kuwa uma unaweza kutumia bongo kuleta mageuzi badala ya vita na kumwaga damu, nani alijua kuwa bunge letu lingeweza kumshinikuza waziri mkuu wetu ajiuzuru na wafauasi wao kwa amani?

ninajua kuwa sir plato aliwahi kusema kuwa kuna watu walioumbwa kwa asili ya kupigana pigana na hivyo kudhani kuwa jibu la hayo yote ni kipigo tu, na wengine walizaliwa kwa kuongea na kufikiri kuwa wanaotumia lugha iliyojengeka inaweza kufanya bora kuliko kupigana. hata hivyo tuangalie kwa makini kila theory na wala sio kumeza tu eti kwa sababu tumeambiwa hivyo.
 
Kwako vitendo vya kihuni ni vipi? kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi au kukataa suala la Mukandala kukandamiza demokrasia ya wanafunzi vyuoni?

nani alijua kuwa uma unaweza kutumia bongo kuleta mageuzi badala ya vita na kumwaga damu, nani alijua kuwa bunge letu lingeweza kumshinikuza waziri mkuu wetu ajiuzuru na wafauasi wao kwa amani?

Hukusikia kuwa bunge limekataa kusikiliza hoja ya wanafunzi kwa vile sio priority kwao. Hakuna mtu anayetaka kuwasilikiza hao wanafunzi then wanakuja kwenye second option waliyonayo ya kukataaa kamwe kuingiliwa na uongozi wa chuo kwenye haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wao

ninajua kuwa sir plato aliwahi kusema kuwa kuna watu walioumbwa kwa asili ya kupigana pigana na hivyo kudhani kuwa jibu la hayo yote ni kipigo tu, na wengine walizaliwa kwa kuongea na kufikiri kuwa wanaotumia lugha iliyojengeka inaweza kufanya bora kuliko kupigana. hata hivyo tuangalie kwa makini kila theory na wala sio kumeza tu eti kwa sababu tumeambiwa hivyo.

Aliyeanzisha ugomvi ni yule aliyeleta FFU na kupiga mama mjamzito na wanafunzi wengine bila sababu yoyote. So far wewe unamuunga mkono mtu huyo. Kwa hiyo wewe unaunga mkono violence.
 
nimetumia neno KUWAACHILIA FFU kwa kuwa hawa FFU ni kama wale mbwa wa polisi, hawana kipimo wala hawajui kusoma picha.
ingelikuwa FFU ni watu na hawafanani na mbwa wa polisi wasingeenda kumpiga mtu mjamzito.

Yaani hapo mkuu umenena. huwa najiuliza kuhusu hawa FFU, huwa wanalishwa nini hasa? bangi? maana ukiangalia macho yao, ukitathmini akili zao, haziendani kabisa na za kibinadamu. Niwieni radhi kwa kusema hili, lakini hawana tofauti na mbwa kweli kabisa - kama mbwa yule aliyeagizwa akabake kale kabinti ka Sengerema, na akafanya hivyo kweli - hao ndio FFU.
 
Umeuliza kitu ambacho na mimi najiuliza kila siku, hawa huwa wanapewa nini, kwanini wanapokwenda kwenye operation za wanatumia nguvu kubwa kiasi kile, hawawezi kuwa wastaarabu kwa kutumia nguvu ya kawaida especially kwa unarmed person, unampiga mwenzio virungu utafikiri gogo la mti. Those people does not have ubinadamu hata kidogo.
 
hakuna lolote nimegundua kuwa hawa wanafunzi ni vandals.. wamevunja kule swimming pool. kuiba bia na soda. wamevunja mabweni... kitu ambacho hakina uhusiano na malalamiko yao. wengine wamekamatwa na 5kilos za bangi.
they behave like animals andd deserve kuwatreated the same... yule msichana hajafa wala nini..... mzima and so is her baby...

Mahali popote pale ukiondoa tu utaratibu wa haki kisheria, a reasonable and just system, matatizo lazima yatatokea. kama vile ambavyo huwezi kugeneralise kwamba wanafunzi wote ni wavuta bangi, huwezi pia kugeneralise kwamba wote ni very nice people. lakini unaweza kumaintain balance unapokuwa na a just system. pale inapoonekana hiyo system haifanyi kazi, basi anarchy inatokea na kila mtu mwenye sera zake anazitekeleza. ndio maana utasikia kuna uporaji mahala, wakati ungetegemea maandamano tu. Angalia kule Middle East: kunapokuwa na mabavu yanatumika, radicals [extremests on each side] take over, kunapokuwa na peace process, moderates take over.

Ni jukumu la utawala kuhakikisha kwamba utaratibu wa haki na sheria unadumishwa. hii ndio shortcut - ukipenda - ya kuwa na amani popote pale. kama utawala unakuwa wa kwanza kuwa unjust na kuvunja sheria, hiyo ni bahati mbaya sana
 
Ikumbukwe kwamba walioko mlimani ni intellectuals,tusiwahukumu jamani kwa mambo tusiyoyajua,mimi naamini kwamba watu hawa wana akili timamu,hawawezi kugoma kwa mambo ya kipuuzi,ombi langu wadau naomba tuwape support.Watu wa UDSM,mimi niko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.
 
I strong disagree na matamshi yako. Kama umepitia UDSM utafahamu what is inside Mlimani. Daruso students believe they're on top of everything. I know kwamba maproffesor wana matatizo yao, kuanzia maswali magumu mpaka kulikisha madesa kwa wanawake.

Chuo hakina anystrategy ya kuwaadhibisha hawa waandamanaji, the only way ni kuwatimu chuo. UDSM wame jaribu kuimpliment njia mbali mbali za kureduce migomo, lakini wanafanzi are out of touch.

Mwalim aliwatimuwa wanafunzi sababu ya migomo yao hii hii ya kipuuzi, na dharau zao za kuamini kwamba sababu wanaweza kusolve maswali ya Static then wao ni smart people on earth.

Jee unge suggest nini kama wanafunzi washawai kugoma kisa hawana calculator? Serikali ina spend million of shilling kuwafund hawa vijana, then payback yao ni kugoma. Do you know how many students wish wangepata chance ya kwenda pale mlimani? What the point ya kuwa na wanafunzi walevi, wavuta bangi, malaya, na washenzi?
If they think their grown and smart than every Tanzanian then how about paying their own school fees? Na kuachia wale wenye shida ya loan and grant.

I know serikali yetu ina matatizo, lakini kwa hili i think mchawi wetu ni hawa wanafunzi and not serikali.

Mtanganyika,

Ndiyo maana nauliza kwa nini Serikali inaendelea kuendesha UDASA?

Let it go private na watu waanze kulipia if they are serious!
 
Ikumbukwe kwamba walioko mlimani ni intellectuals,tusiwahukumu jamani kwa mambo tusiyoyajua,mimi naamini kwamba watu hawa wana akili timamu,hawawezi kugoma kwa mambo ya kipuuzi,ombi langu wadau naomba tuwape support.Watu wa UDSM,mimi niko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.

9784,

Who do you call intellectuals? Hawa wanafunzi waliogoma kwa kukosa kuwa intellect and intelligent?
 
9784,

Who do you call intellectuals? Hawa wanafunzi waliogoma kwa kukosa kuwa intellect and intelligent?

Hili swali la INTELLECTUALS nadhani ni wachache sana wata-qualify kuwa ni true intellectual - pale mlimani ukianzia na maprofesa mpaka mwanafunzi. Ni swali zuri pia kujiuliza, maana kama watu wetu wa chuo kikuu tuna mashaka na "intellectual status" yao, ni hatari kwa taifa.

swali lenyewe ni kwamba, TUMEFIKAJE HAPA? na tutaondoka vipi? Nadhani ni rahisi kusema "wale hovyo" "wale hawafai" lakini tukikumbuka kwamba this is our nation na workforce ndio hii tunayoiandaa, tena kwa gharama kubwa sana, hatutakurupuka kuchukua judgement za haraka, ama kwa wanafunzi, ama kwa serikali inayojifanya kuadhibu wakati inatuadhibu walipa kodi na wazazi.
 
Issa Shivji aliandikaga kitabu kinachoitwa "Intellectuals At The Hill"...kitafuteni mkisome...
 
wamegoma kwasababu, demokrasia ya wao kuchagua viongozi wa serikali ya wanafunzi wawatakao imepindishwa, wamegoma kwasababu tatizo la maji limekuwa sugu, wamegoma kwasababu umeme unakatika hovyo, lift hazifanyi kazi....mgomo huu ni halali! kama unadhani kukosa calculator ni jambo dogo, basi lazima una matatizo na wanaozihitaji ni wale ambao hawapo pale kwa degree ya history, otherwise maisha ni magumu sana kwa sayansi students bila calculator.

hayo mambo ya pombe, bangi na ngono ni vitu vya kawaida vyuoni dunia nzima! sasa kama hujafanya hayo(kwa walioamua kufanya) wakati ukiwa chuo, watayafanya hayo wakiwa wapi?? ile baa ya wanafunzi ipo kwa ajili ya nani? au ni urembo tu? argument nyingine hapa ni za kilevi kushinda hao wanafunzi mnaowaita walevi!! tuwe wakweli jamani......

Huwezi kuwa mkweli wakati ukweli unaukataa na uko mbele yako. Hawa vijana hawajagoma kwa sababu ya maji, umeme au uchaguzi! Hawajagoma kwa sababu ya mazingira magumu ya wao kusomea kama unavyotaka tuamini. Nitakuambia sababu.

Wamegoma kwa sababu Nyerere amewaambiwa wagome kwani matatizo ya maji, umeme, na mazingira magumu yalikuwapo tangu enzi za Nyerere. Usije kulaumu Chuo kilichofunguliwa na yule Mzee Marehemu na ambaye ndiyo alikuwa muasisi na mara nyingi alikuwa akienda hapo. Hicho chuo kinafuata mawazo na mtindo wa muasisi wake ndio maana vijana hawa wamegoma. Wamechoka na mawazo ya Nyerere na influence yake kwenye eneo hili la elimu.

Huo ndio ukweli.
 
Nadhani wakati umefika wa kumletea YNIM salamu zake kutoka gereza la Butimba....Lol
 
Why Kugoma?

labda nikuambie kwa kutumia why not?

1. Why not kugoma ili serikali isitishe mikataba mibovu?
2. Why not kugoma ili bei ya umeme ipungue?
3. Why not kugoma ili serikali isite kulipa richmonduli?
4. Why not kugoma ili Mkapa na mafisadi wengine washitakiwe?
5. Why not kugoma ili Kikwete asifuje mabilioni ya fedha hazina?
6. Why not kugoma ili serikali ithamini elimu nchini?
7. Why not kugoma ili pesa za nchi zitumike kwenye huduma za afya?
8. Why not kugoma ili maji na huduma muhimu zipatikane nchini?
9. Why not kugoma ili huduma muhimu zipatikane chuoni?
10. Why not kugoma ili fisadi, dikiteta na muuaji Mukandara akome kuingilia chaguzi huru za wanafunzi wa chuo kikuu?

Your talking something irrelevant to the point. What is the correlation between UDSM student strike with Mikataba fake? Please let not politicized something important kama Mlimani. I have respect to that college, but the students are untouchable.Have you ever attended UDSM? Higher learning institutions needs to stay away from politics as much as possible. Ndio maana utaona Colombia University wameweza kumuhoji Ahmadinajad.

Kuwatumia wanafunzi kama source za solution za matatizo ya serikali i think ni unfair. Remember kama hujawai kupita Mlimani then you don't have idea about diversity community ndani ya mlimani. Kuna watu wanatoka kwenye familia duni, wamekuja pale kuearn degree so they could support their families. Sasa unapoanzisha mgomo unacost the whole system.

please naomba tusishabikie vitu tusivyo na idea navyo. Kama umepita mlimani then you will understand the effect za migomo. Majority ya hawa waanzisha migomo wapo pale kupoteza muda.
 
Huwezi kuwa mkweli wakati ukweli unaukataa na uko mbele yako. Hawa vijana hawajagoma kwa sababu ya maji, umeme au uchaguzi! Hawajagoma kwa sababu ya mazingira magumu ya wao kusomea kama unavyotaka tuamini. Nitakuambia sababu.

Wamegoma kwa sababu Nyerere amewaambiwa wagome kwani matatizo ya maji, umeme, na mazingira magumu yalikuwapo tangu enzi za Nyerere. Usije kulaumu Chuo kilichofunguliwa na yule Mzee Marehemu na ambaye ndiyo alikuwa muasisi na mara nyingi alikuwa akienda hapo. Hicho chuo kinafuata mawazo na mtindo wa muasisi wake ndio maana vijana hawa wamegoma. Wamechoka na mawazo ya Nyerere na influence yake kwenye eneo hili la elimu.

Huo ndio ukweli.

unajua hata nyerere aliokuwa nao walishindwa kumuelewa na wakaogopa kumuuliza wakati ule. pia yesu vile vile.

naomba sasa unifafanulie ili niweze kuelewa ulichokieleza.
 
Okay Wanafunzi wanahaki kugoma, lakini ni nini msingi wa mgomo wao? kwa nini waingize fujo?

Je ni kutokana na kuwa Lost in Translation?

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=12467

Rev i do have the same argument.I was born and rised in Mlimani, i know source kubwa ya migomo ni kitivo cha uhandisi. Why? That is the question ninalo jiuliza miaka nenda miaka rudi. uhandisi suppose to be soma soma limited.

I think its a time UDSM kiwe private then government iwe inatoa scholarship to those who qualified. I think we need to do that, i think itarudisha heshima ya Mlimani. Hakuna haja ya kuwalipia ada wasela, watu walikwenda pale mlimani kwa nia nyingine, either iwe ni kusaka wapenzi au kula ruzuku na kucheza pool kwenye cafteria zao kule mabibo hostel.

Let return the respect ya Mlimani.
 
Kama ni bangi, umesahau kuwa Kikwete ana list kubwa sana ya wauza madawa ya kulevya ambao hadi leo hawajachukuliwa hatua yoyote ile?

Unavyowaita wanafunzi hawa kama animals, unatumia the same language ambayo makaburu walikuwa wanamwita Nelson Mandela

How can u justify kukamatwa na bangi kwakumhusisha kikwete kwamba analist ya wauza madawa. There is no causal link... Hapo huna hoja.. The fact of the matter is wametumia vandalism ulevi na matumizi ya illefal substances.. even animals dont do that. Mandela na makaburu are completely irrelevant.. Kama wangekuwa true intellectuals then they would not behave as such... Usitete tabia zakijinga kwakutumia unrelated points.. kama unataka kuwatetea, justfy their behaviour with real reasons.. PLEASEEEE.lol
 
ndio, niliichukua kwa nyerere na ni legend pale...labda kama hawa wa siku ni wachovu kiasi kwamba kugoma ndio mtkasi pekee!! sidhani kama hiyo ni kweli!

acha utoto.......

Kama Nyerere anawajibika kwa kila matendo ya kila mtanzania tangu 1961 hadi leo hii kwanini asiwajibike kwa ya kwako? au wewe mwenzetu "special"?
 
Rev i do have the same argument.I was born and rised in Mlimani, i know source kubwa ya migomo ni kitivo cha uhandisi. Why? That is the question ninalo jiuliza miaka nenda miaka rudi. uhandisi suppose to be soma soma limited.

I think its a time UDSM kiwe private then government iwe inatoa scholarship to those who qualified. I think we need to do that, i think itarudisha heshima ya Mlimani. Hakuna haja ya kuwalipia ada wasela, watu walikwenda pale mlimani kwa nia nyingine, either iwe ni kusaka wapenzi au kula ruzuku na kucheza pool kwenye cafteria zao kule mabibo hostel.

Let return the respect ya Mlimani.

ongea taratibu mwafrika wa kike asikusikie
 
Back
Top Bottom