Serikali yatimua wanafunzi UDSM

One of the world's most eminent scientists was embroiled in an extraordinary row last night after he claimed that black people were less intelligent than white people and the idea that "equal powers of reason" were shared across racial groups was a delusion.


James Watson, a Nobel Prize winner for his part in the unravelling of DNA who now runs one of America's leading scientific research institutions, drew widespread condemnation for comments he made ahead of his arrival in Britain today for a speaking tour at venues including the Science Museum in London.

The 79-year-old geneticist reopened the explosive debate about race and science in a newspaper interview in which he said Western policies towards African countries were wrongly based on an assumption that black people were as clever as their white counterparts when "testing" suggested the contrary. He claimed genes responsible for creating differences in human intelligence could be found within a decade.

Copied from the Independent website. http://www.independent.co.uk/news/science/fury-at-dna-pioneers-theory-africans-are-less-intelligent-than-westerners-394898.html

Kwa kifupi, mheshimiwa huyu alisema kuwa tatizo la maendeleo Afrika yalitokana na dhana potofu ya kuwa waafrika wana akili sawa na wazungu wakati ukweli uko wazi kuwa sio hivyo. kwa wale wanaosema Dr. Watson was right kwa hiyo wanakubaliana na imani hii kuwa mwafrika ameUMBWA mjinga kuliko mzungu. Dhana ambayo mimi napingana nayo kwa nguvu zangu zote.

Amandla!
 
Matatizo ya Mlimani ni dalili za awali za dola kushindwa kazi na kuonesha mpasuko wa jamii ya kitanzania. Tatizo la ku introduce mikopo bila kujali hali halisi ya watanzania ni upuuzi wa uwazi. mtoto wa mkulima katokea kijijini amesoma shule za ajabu ajabu za sekondari za serikali. Kwa ufupi ni kuwa vijana wetu walioko mlimani ama vyuo vikuu ni vipanga wa hali ya juu. mazingira waliosoma tangu shule za msingi mpaka sekondari ni duni. leo hii mkulima ambaye kipato chake ni duni unmwambia amlipie mtoto wake chuo kikuu. ni uwenda wazimu wa mchanamchana. utoaji wa mikopo kwa kungalia sura na majina, utoaji mikopo bila kuwa na upembuzi yakinifu ndiyo chanzo. Mlimani kumejaaa maproffossors kibao wa kila nyanja. kuanzania uhandisi mapaka ungwini. Tatatizo hawana njia madhubuti ya ku control waliokopa. still waliokopeshwa bado hawapewi pesa za kutosha. inabidi mkopaji na mkopwaji wake mezani ili waamue kwa pamoja ni kiasi gani mwanfunzi anahitaji. kila mwanafunzi ana mahitaji tofauti. kuna watakaohitaji full scholarship award, kuna watakaopewa mkopo 100% na percentages kushuka kutegemea na uwezo wa mwomabji. mwombaji ndiye awe na nguvu ya kuamua anahitaju kiasi gani. sio serikali kuamua ni kiasi gani kuwapa wanafunzi.(costs zote ziko wazi kulingana na ghrama za chuo.)

Hao maproffessor na Kikwete wao kila siku wako ulaya na marekani hawaulizi wenzao wnamudu vipi. si aibu kudesa! kama hawawezi kuanzaisha wenyewe utaratibu yakinifu.

Utumiaji wa mabavu uliooneshwa na serikali ni dalili tosha kuwa kuwa imeshindwa kuchanganiwa na kusawazisha matatizo ya vyuo vikuu. Hivyo wazo la kuachia vyuo kuwa taasisi huru ni bora badala ya kughilibu watu na viini macho kutoa mikopo.

Theory nyingine ni wivu na ushindani uliojaa mioyoni mwa hao maproffessor. hata kukupa first class ni nongwa. wengi wao walisoma enzi za mwalimu BURE. leo wanajidai kuwabana watoto wa maskini, kuwanyima haki waliyoipata BURE!!!! Stupid.
'Ama kweli kusoma sana sio kuelimika' Ipo siku watakuja kujibu mbele ya Mungu kama si humuhumu duniani. Kwa waliofukuzwa kama mna access za internet search scholarships austarlia, new zealand na kwingineko. Elimu ni haki yenu. Wekeni wakili then Contact People for fincial asisstance hata hapa JF. Mungu awatie nguvu na busara wakati huu mgumu wa kufanya maamuzi yenu.
 
Mkuu Maarifa

Naona kweli umekelwa vibaya sana. Hila ni kwamba hata hao wanafunzi kale ka mkopo wanakoambiwa na mzazi alipie wengi wanapokapata wanamegea na wazazi wao.

Wakati kuna baadhi ya watu wanaona bilioni ni senti baada ya kuwa wanasiasa kuna watanzania hata akibahatika akapata mia tano ya tanzania anaweza kushinda anaomba mungu kwa mafanikio hayo.

Pamoja na kwamba Tanzania tumekuwa na amani na utulivu pamoja na kuwa na njaa, tanzania ni nchi ya mwisho ktk Africa ya mashariki kuwa na watu walio-ona elimu ya chuo kikuu.

Halafu watanzania huwa ni vigumu sana hata kupata scholarship angalia vyuo vingi sana linganisha watanzania na nchi kama Kenya utagundua kweli bado tuna kazi.
 
Back
Top Bottom