Serikali yatenga shilingi bilioni 33 kuboresha shule za vipaji maalum

Long live Mr.Massele.
Long live Mr. Mrisho.
Long live Mr Kamlali.
Long live Mr. Choya.
Long live Mr. Maduka.
Long live Mr. Madafu(japo nilikuwa nakuchukia sana).

Long live (why not, ng'ambo, wosso, student center, tukutuku).
Miaka gani asigwa ? Utakuwa ulikuwa na koloni kule Warsaw...! ha ha
 
Ha ha ha koloni la kudumu warsal,mimi nilikua July 1998- May 2000
Anha.. bila shaka kama si hidden id's tungefahamiana rafiki!. Btw, shule yetu ile ilihitaji juhudi za makusudi to restore it to its rightful place,and hence respected! Viva TS!
 
Sijui wanamaanisha nini wanavyosema shule za vipaji maalumu. Mimi nilisoma Weruweru cha kushangaza wakati tunaanza form one kuna wanafunzi walikuja na ufaulu wa alama za juu kabisa lakini walikuwa hawajui kusoma wala kuandika.
 
Kinachoniumiza akili hizi shule huwa zinapokea wanafunzi kidato cha kwanza wakiwa na maksi za juu (vipaji maalum) lakini wakimaliza form four huwa wanakuwa sio vipaji maalum tena.Angalia wanafunzi wengi wanaochaguliwa kwenda Mzumbe Ilboru Tabora Boys kama o level wamesoma shule za aina ya hizo za vipaji maalum.Hizo shule nadhani zinapokea vipaji maalum lkn output yake sidhani kama ni vipaji maalum.
 
Nadhani angesema tu ".....na kuhakikisha shule hizi zinakuwa na walimu wa kutosha....." ingetosha na kueleweka pasipo maswali kwani moja ya tatizo kubwa la shule za umma nyingi ziwe maalumu au hata hizi zisizo maalumu kwa mtazamo wao ni upungufu wa walimu wa baadhi ya masomo hasa ya sayansi.

Kwa ufupi:

Moja ya madhara ya vyeo vya kuteuliwani ni sawa na yale ya : amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua wimbo....
 
Moja ya shule (nadhani) anazozungumzia waziri ni Tabora Schools (Boys & Girls)

Mimi nimesomea Tabora Boys kwa masomo yangu ya A'level miaka ya tisini nikitokea Kibaha S.S nilikomalizia masomo yangu ya sekondari O'level

As for the case ya wanafunzi wenye "vipaji maalumu". Hii dhana kwa Tanzania hata sijawahi kuielewa

Hebu niambie kwa mfano pale Iliboru S.S hivi kuna wanafunzi wenye vipaji maalumu au ni shule tu iliyotengwa kwa wanafunzi walio na ufaulu wa alama za juu bila kujali amefaulu kwa njia gani?.....Kwangu mimi ndicho ninachokiona!!

Ni kwanini hizi shule ziitwe za vipaji maalumu eti? Ni kwa kigezo hiki cha kupata alama za juu ktk masomo yoote?

Hoja yangu ilikuwa ni walimu wenye vigezo. Na kamwe sikuona tofauti ya walimu walionifundisha Kibaha na hawa wa Tabora Boys as a special school!!

Na labda nikuambie kitu kimoja kuwa hakuna cha wanafunzi wenye vipaji maalumu wala nini.

Mimi naamini kuwa wanafunzi woote ktk shule zoote kila mmoja ana kipaji chake!!

Kuna wenye vipaji vya kuimba, kucheza, ubunifu wa kisayansi, mavazi, sanaa za uchoraji nk

Je, shule zetu zimekuwa categorized kwa kuzingatia components za vipaji hivi ili kila mwanafunzi aende ktk shule husika kulingana na kipaji chake?

Wewe unazungumzia 90's wakati shule zote, kwa maana ya ZOTE, zilishakuwa marehemu?! Shule zilikuwa miaka ya 60's mpaka 80's ambapo viwango vilivyoachwa na wakoloni vilikuwa vya juu kweli kweli baada ya hapo ndipo tulipoanza kuviboronga, utawala binafsi wa kujimaliza wenyewe!
 
Moja ya shule (nadhani) anazozungumzia waziri ni Tabora Schools (Boys & Girls)

Mimi nimesomea Tabora Boys kwa masomo yangu ya A'level miaka ya tisini nikitokea Kibaha S.S nilikomalizia masomo yangu ya sekondari O'level

As for the case ya wanafunzi wenye "vipaji maalumu". Hii dhana kwa Tanzania hata sijawahi kuielewa

Hebu niambie kwa mfano pale Iliboru S.S hivi kuna wanafunzi wenye vipaji maalumu au ni shule tu iliyotengwa kwa wanafunzi walio na ufaulu wa alama za juu bila kujali amefaulu kwa njia gani?.....Kwangu mimi ndicho ninachokiona!!

Ni kwanini hizi shule ziitwe za vipaji maalumu eti? Ni kwa kigezo hiki cha kupata alama za juu ktk masomo yoote?

Hoja yangu ilikuwa ni walimu wenye vigezo. Na kamwe sikuona tofauti ya walimu walionifundisha Kibaha na hawa wa Tabora Boys as a special school!!

Na labda nikuambie kitu kimoja kuwa hakuna cha wanafunzi wenye vipaji maalumu wala nini.

Mimi naamini kuwa wanafunzi woote ktk shule zoote kila mmoja ana kipaji chake!!

Kuna wenye vipaji vya kuimba, kucheza, ubunifu wa kisayansi, mavazi, sanaa za uchoraji nk

Je, shule zetu zimekuwa categorized kwa kuzingatia components za vipaji hivi ili kila mwanafunzi aende ktk shule husika kulingana na kipaji chake?
Mkuu unanikumbusha classmate wangu mmoja marehemu hivi sasa.
Alikuwa mkia wa darasa kila term anakuwa wa mwisho kuanzia form one hadi four.
Tulikuwa tunasema "hana akili"na kila mara kupigwa mikwaju kwa kupata wastani wa chini kwenye masomo.
Huyu bwana tulikuwa wote wachezaji soka wa timu ya shule and he was good.
Wakati fulani katika mashindano ya UMISETA shule ilikosa wanariadha hivyo wakamchukua huyu jamaa toka timu yetu ya mpira ili awakilishe riadha pia.
Without any professional training ya riadha,the guy clocked 10.89 mita 100 mara ya kwanza na kwenye finals alikuwa wa pili with 11 seconds.
Baadae kutokana na hamasa ya kumuona jamaa akikimbia, tukiwa mazoezini tukawa tunajifunza kukimbia 100m wakati wa warmup,tunakimbizana na jamaa.
Baadae tulipoachana form iv,nikiwa form v nilipata taarifa yule jamaa alipofeli form v alijiingiza kwenye ulevi na madawa na siku moja wakiwa wanatokea beach walipata ajali mbaya jamaa akafariki.
Leo nikiwa mtu mzima naelewa nini maana ya mwanariadha kukimbia 10,11 seconds!Huyo ni Olympic sprinter akitengenezwa anagonga 9 seconds za akina Bolt!
Nakumbuka kwenye zile warm up walikuwapo watu wanagonga 11 seconds zaidi ya mmoja.Walikuwa wacheza mpira.
Jamaa marehemu aligonga 10 siku ile ya UMISETA na siku moja aliigonga tena kwenye warm up.
Haya yameishia gizani,tumeshakuwa watu wazima na vitambi,life goes on,na wanaotufuatia nao mtiririko ni huu huu.
Ni wale wenye A darasani ndio wenye vipaji maalum,hadi leo tukikumbushana na washkaji kuhusu yule marehemu kuna wengine utawasikia,"jamaa hakujaaliwa akili,ila alikuwa na spidi ya hatari uwanjani!"
Watz tunapaswa kupata changes kuanzia KICHWANI.
 
Asante sana mkubwa

Na ndiyo hasa hoja yangu ilipo kwa kujiuliza hii dhana ya "shule za vipaji maalumu" ikoje kwa hapa Tanzania?

Hivi vipaji maalumu ni kurundika wanafunzi darasani kwa kigezo cha alama za juu za ufaulu kwa kuibiwa mitihani mitihani??

I absolutely don't get it!

Sasa hebu jaribu kufikiri kwa huyu bwana kuwa na kipaji na mapenzi ya riadha

Lakini kwa mfumo wetu wa elimu huyu bwana alikuwa analazimishwa na kuburuzwa tu aingie darasani na kusoma sijui masomo 9, 10, 12 au whichever number of subjects bila kuangalia na kujali huyu anaweza nini!

Tungekuwa na mfumo sahihi wa elimu unaotambua vipaji vya watoto wetu mapema kuanzia ngazi ya familia hadi mashuleni, ni wazi huyu jamaa angekuwa hai mpaka leo huku akilitea taifa sifa kedekede kupitia kipaji na mapenzi ya riadha kwa kulelelewa vyema na walimu professional specialists ktk eneo hilo!

Sasa leo tunaambiwa eti shule za serikali kama Weru Weru, Msalato, Iliboru, Kibaha, Mzumbe sijui na zinginezo kwamba ni shule za wanafunzi wenye vipaji maalumu.....kweli!!??

Si kweli hata kidogo. Bali ukweli wake ni wa mambo mawili tu makubwa ambayo ndiyo labda yanaleta huo umaalumu wake;

1. Ni shule zinazopelekewa wanafunzi waliopata alama za juu ktk ngazi ya chini ya elimu bila kujali wamezipataje hizo kwa akili zao au kwa kuibiwa mitihani. Na ktk hizo hakuna kilicho cha tofauti kinachofundishwa hapo ambacho hakifundishwi ktk shule zingine zisizo maalumu. Kwa hiyo sina hakika kama zinastahili kuitwa "shule za wanafunzi wenye vipaji maalumu!"

2. Ni shule zinazopendelewa na serikali kwa kigezo cha umaalumu huo kwa kupatiwa miundo mbinu bora kama majengo yote ya kutosha, vifaa vya kufundishia na kujifunzia, fedha nk nk kuliko shule zingine zinazoitwa za kawaida zisizo maalumu jambo ambalo ni kosa kikatiba!!

Kwa hiyo kwa maoni yangu, ili jina la shule ya vipaji maalumu lilete maana halisi ni sharti kuwe na categorization ya shule hizi kulingana na nini kinafundishwa hapo

Mfano tunaweza kusema Shule za wanafunzi wenye vipaji maalumu vya mchezo wa mpira wa miguu au michezo kwa ujumla, Shule maalumu za watoto wenye vipaji vya uimbaji/music, Shule za wanafunzi wenye vipaji maalumu vya ushonaji wa mitindo mbalimbali, vipaji vya uchoraji na ubunifu majengo, vipaji vya ubunifu utengenezaji vitu (science) nk nk

I think that's how we should go na nchi zilizoendelea wako huko.....
 
kweli kaka umeongea point... kuna watu akuli zao zinawadanganya diamond hana kipaji kisa hajasoma mzumbe au ilboru... ila hao hao ndio wa kwanza kuingia harusini na wake zao huku wakicheza nyimbo za diamond tu.. huku kuna wanamuziki kibao nchini...

kipaji ni kuwa na uwezo mkubwa kulinganisha na wenzako kwa kitu chochote unachokifanya..

usain bolt ana kipaji cha riadha..

lebron james ana kipaji cha basketball

lionel messi ana kipaji cha football.

na mifano mingi kama hiyo...

Well said mkuu na kiuhalisia hiyo ndiyo maana ya "kipaji maalumu!"

Na tunaposema kila mtoto aende ktk shule ambayo anaendana na kipaji chake, haina maana kuwa watoto hawa wasifundishwe masomo mengine ya lazima!

Mfano hata kama mwanafunzi ana kipaji cha soka au riadha au music/uimbaji anaelekezwa ktk shule iliyo specialize kuendelea watu/watoto wenye vipaji hivyo

Lakini lazima wafundishwe masomo mengine muhimu kama Uraia kujifunza uzalendo wa taifa lao, Lugha muhimu kama kiswahili, kiingereza na zingine kwa umuhimu wake

Haiwezekani kila mtoto tumlazimishe tu kusoma physics au Chemistry au Biology au Geogaraphy nk.....
 
ha ha ha

aisee umenikumbusha hiyo ya limebani.

Kuna limtungi moja hivi la gesi limekatwa nusu limetundikwa kwenye mwembe nyuma ya bweni kuu kule Ruhinda na Kimweri lilikuwa linatumika kama kengele ya msosi enzi zetu, yaani nililiacha miaka hiyo mpaka leo nimerudi nikalikuta aiseee.

Tabora School safi sana, maisha ya pale nusu chuo.

Aisee sasa tunajuana

Si unakumbuka chini kusini ya shule wakati yalikuwa ni mashamba ya watu na mbele kidogo kuna kijiji kinaitwa "Kariakoo?"

A month ago nilikuwa huko kikazi na nika drive kwenda kuicheki shule yetu. Kiukweli haiko vizuri, imechakaa sana. Ile fence imeisha kabisa na pale geti kuu lenye maandishi makubwa ya kuvutia ya "TABORA SCHOOL" yaani ukuta wake umebomoka. Kiukweli serikali imezitelekeza sana shule hizi, haipendezi!!

Ukiachana na sura ya shule kwa ujumla, kwa sasa mkuu mji Tabora umebadilika sana, huko kijijini Kariokoo kwa sasa koote ni majumba mazuri mazuri na ni kama imeungana na Kipalapala tu!
 
Halafu hilo neno vipaji maalumu linavyo niboaga basi tu,kila mtu ana kipaji ila tatizo ni ubaguzi wa kielimu tu.Mm niko kijijini huku kuna vijana wanawasha kwelikweli lakini hawaonwi kisa kuna shule za vipaji maalumu.Boresheni elimu kwa wote bwana
 
Serikali imepanga kukarabati na kuboresha shule 88 za vipaji maalum, waziri wa elimu Profesa Joyce Ndalichako aliyasema hayo siku ya jumanne tarehe 28/06/2016 katika maadhimisho ya siku ya elimu nchini iliyofanyika katika shule ya sekondari Mzumbe iliyopo wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro.

''Tutaanza na shule hii (Mzumbe), Ilboru na Weruweru katika hatua za kurudisha heshima zilizokuwa nazo zamani''
Amesema serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 33 kwa awamu ya kwanza utakaoanza na shule 33

''Tunatarajia kufanya maboresho haya katika awamu tatu, pamoja na kuzipa shule hizi walimu wenye vigezo. Tumeongea na washirika wa kimaendeleo kushirikiana nasi na tutaanza wiki ijayo'' aliwaambia wageni waalikwa katika maadhimisho hayo
Shule zingine watapelekwa walim wasio na vigezo?
 
Ni hatua nzuri sana turudishe heshima kama ya zamani kwa shule hizi, Watoto wa maskini wakafurahie elimu bora na ya bure
 
Sijui wanamaanisha nini wanavyosema shule za vipaji maalumu. Mimi nilisoma Weruweru cha kushangaza wakati tunaanza form one kuna wanafunzi walikuja na ufaulu wa alama za juu kabisa lakini walikuwa hawajui kusoma wala kuandika.
kutoka same?
 
Moja ya shule (nadhani) anazozungumzia waziri ni Tabora Schools (Boys & Girls)

Mimi nimesomea Tabora Boys kwa masomo yangu ya A'level miaka ya tisini nikitokea Kibaha S.S nilikomalizia masomo yangu ya sekondari O'level

As for the case ya wanafunzi wenye "vipaji maalumu". Hii dhana kwa Tanzania hata sijawahi kuielewa

Hebu niambie kwa mfano pale Iliboru S.S hivi kuna wanafunzi wenye vipaji maalumu au ni shule tu iliyotengwa kwa wanafunzi walio na ufaulu wa alama za juu bila kujali amefaulu kwa njia gani?.....Kwangu mimi ndicho ninachokiona!!

Ni kwanini hizi shule ziitwe za vipaji maalumu eti? Ni kwa kigezo hiki cha kupata alama za juu ktk masomo yoote?

Hoja yangu ilikuwa ni walimu wenye vigezo. Na kamwe sikuona tofauti ya walimu walionifundisha Kibaha na hawa wa Tabora Boys as a special school!!

Na labda nikuambie kitu kimoja kuwa hakuna cha wanafunzi wenye vipaji maalumu wala nini.

Mimi naamini kuwa wanafunzi woote ktk shule zoote kila mmoja ana kipaji chake!!

Kuna wenye vipaji vya kuimba, kucheza, ubunifu wa kisayansi, mavazi, sanaa za uchoraji nk

Je, shule zetu zimekuwa categorized kwa kuzingatia components za vipaji hivi ili kila mwanafunzi aende ktk shule husika kulingana na kipaji chake?
VIPAJI MAALUMU?UMEONGEA KITU KIKUBWA SANA,HUWEZI KUELEWEKA KIRAHISI
 
Back
Top Bottom