ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia halmashauri ya Jiji la Dar imeandaa milioni 500 kwa ajili ya kufanya usafi na kuboresha mazingira baadhi ya maeneo ya Jijini Dar es Salaam ambayo maeneo hayo yatajulikana kama smart areas.
Pia Sheria kali inakuja kwa wale wachafuzi wa mazingira hayo, wakiwemo wafanyabiashara wa kimachinga, gereji bubu na show rooms zilizopo kwenye makazi ya watu.
Hivyo mjiandae wana Dar es Salaam.
Chanzo: Azam Two