OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,021
- 114,393
Katika kuelekea Tanzania ya Viwanda maajabu hayataisha. Mbunge wa Nzega Mjini, Bwn.Hussen Bashe amemshangaa waziri na serikali ya CCM kutenga 2b kwa ajili ya kufufua kiwanda cha General Tyre. Taarifa zinaonyesha kuwa kiwanda hicho kinahitaji zaidi ya bilioni 60 ili kiweze kufanya kazi. Kinyume na matarajio ya wataalam serikali imetenga bilioni 2 tu..........................