kanchibay
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 672
- 687
Siku hizi anavuta bangiYule subira alokuwa anavuta kheri, cjui siku hizi anavuta nn....
Siku hizi anavuta bangiYule subira alokuwa anavuta kheri, cjui siku hizi anavuta nn....
Daaah ni kweli tunakusanya ushahidi ili tuyafanyie kaziNi kwel Watu Wanapigiwa cm, Wanaombwa Email unatumia Barua ya ajira. Kwenye Barua Kuna eleza ukaripoti , Katika shule fulan. mfano rafiki angu kaambia Akaripoti Halmashauri ya Mbinga jan 04.2021 barua mimi Nimeona , Nimeprint Mwenyewe stationery. Jina la shule alio enda Kulipoti nalihifidhi.
Zishatoka kitambo mbona boss 🤣🤣 mm nilipigiwa simu na tamisemi kuwa niendelee kulima, vipi ww hujapokea cm yoyote toka tamisemi 😁😁Serikali imeamua kudanganya vijana kutoa ajira 5000 za walimu mwezi February na mwezi umeisha hakuna kitu
Iwe uongo au ukweli kauli ya prime minister na ndo kauli ya mwajili inasema ajira 5000 tayar , zishatoka na watu wamepangiwa vituo na wanapiga kazi, basi kama serikali ni ya Baba ako subiri hzo ajira 5000 mana mna vichwa vigumu kama vya samaki asiyekolea viungoPambana kuhubiri uongo
Mada ya kitoto. Unataka orodha ya majina 5000? Ya nini? Baadaye utataka orodha ya watoto 2,000,000 wanaosoma bure Darasa la 5, unwajua? Huyo Mungu mwenye hasira bora nenda kaungame kina tubdulissu wanakera ushogga au Chadema kunyanyasa kingono viti maalum. Mada ya kitoto.Hivi majuzi ukiwa bungeni ulisema mmeajiri walimu 5000 wiki mbili zilizokuwa zimepita.
Tunachoomba uwaambie Watanzania kuwa mmezitangaza lini hizo ajira na majina ya walimu waliopangiwa shule yako wapi?
Tunaomba sana na sisi maskini mtuheshimu, kwani daima Mungu wetu hupigania zaidi maskini.
Tunaomba mtoe majibu haraka ili Hasira ya Mungu mwenye haki isije kuwalamba.