Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

Magazeti bhana kwa kutunga story sasa kwenye speech yake mbona hajatatamka kuwa amefuta bali kazungumzia mfumo mpya wa kuajiri walimu
Speech yake ilikatwa ili kubeba kiini alichokusudia msambazaji wa ile video.

Nadhani ingeachwa speech nzima ungeyasikia yote.
 
watu bhn hivi ww BabM upo sawa kweli? bora angesema mapema ili watu wajipange maana kuna uvumi ulitokea serikal ikakanusha then ilicho kanusha ndo hiki kimetokea leo ?maana yake!
 
Anaajiri kwa awamu vijana punguzenı haraka. Mwanzo mlısema haajırı kabısa sasa ajıra zımeanza kutoka tena maneno yanaanza. Halafu kama waalimu wa sanaa wametosha kwenye shule za serikali awaajiri wa kazi gani?
Mkuu hayo unayoyaongea umeyafikiria vema kweli au unabwatuka tu kwakuwa.........
 
Da namkumbuka sana mkuu wa kaya nafikirikilia kauli yake, MTANIKUMBUKA ,halafu mbna walimu wa biashara hamwazungumzii naona professor hajawazungumzia
 
Wengine kwenye kutuma vyeti kwa uhakiki wanatuma vyeti na transcript, ni ya lazima? ingawa kwenye barua naona hawajasema wanataka transcript pia
 
Wengine kwenye kutuma vyeti kwa uhakiki wanatuma vyeti na transcript, ni ya lazima? ingawa kwenye barua naona hawajasema wanataka transcript pia
Sasa bila transcript watajuaje kozi ulizosoma?
Wabongo bhana vitu unavyo kwanini usitume?
Kwa taarifa yako kuanzia elimu ya chuo kama huna transcript sahau ajira
 
Vyombo vya habari takriban vyote vilijitahidi kutumia kichwa cha habari cha kuvutia kama kilivyo katika uzi huu! Lakini Serikali yetu bado tu haijamwaga ajira hadi sasa kama ilivyotegemewa na wengi wao!
 
Mbona unalalamika sana kwani lazima serikali ikuajiri.
 
Sasa nimaindi nini wewe ndo bado unatafuta ajira, mi nilimaliza chuo miaka mingi sana saiv nafanya maisha
Hahah...Huku ndio kumind kwenyewe na kupoteza dira, mtu hunijui umejuaje natafuta ajira?... kijana emb jaribu kutumia elimu ulonayo kwa busara basi.. ulisoma nini mbona naona kama hakijakusaidia ulichosoma?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom