Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Wazee na afisa ustawi wa jamii lazima asajiliwe?? Na barua ya usibitisho wa kazi kutoka kwa mkurugenzi kama uliwahi kujitoloea ni muhimu sana ..
Hivi huwa wanasajiliwa?

Kama ulijitolea na ukaweka ulijitolea lazima uweke barua ya kuthibitisha.
 
Kila kitu kinawezekana kuwa na imani mungu ndio anagawa rizik nakumbuka tarehe 12/9/2020 nikiwa na apply nilikuwa wa 92000 na nilipata majin yalivotoka
Ivi kwa mfano nimesoma bachelor of science in mathematics naweza kuomba maana kufundisha hesabu niko vizuri pia naendelea kujitolea hapa shuleni
 
Ivi kwa mfano nimesoma bachelor of science in mathematics naweza kuomba maana kufundisha hesabu niko vizuri pia naendelea kujitolea hapa shuleni
Omba tu mkuu. Sifa yako ipo hapo mbona kuna kipengele kimeandikwa elimu maalumu kwa masomo ya physics, chemistry, biology and mathematics

Mimi na kozi kama yako ila nimeomba na kuna jamaa zangu wengi tu nilimaliza nao zamani walishagapata miaka ya nyuma.
 
Aah elimu maalumu ni wale wa bachelor of education in special needs(Bed Sped
 
Back
Top Bottom