Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Hii shida inatokana na Nini kila nikiuplood barua, inaganda hivi
Screenshot_20210513-085929.jpg
 
Huyo marehemu unasema ni bora aliajiri hata mwalimu mmoja? Shukuru hata zimetoka hizo hata kama wewe usipopata wenzako wakipata sio sawa na wote mkiwa hamna ajira.

Angalau hata rafiki yako akipata unaweza kumpiga vimizinga vya hapa na pale. Kuwaga na shukrani mda mwingine bwashee.
Kupiga vimizinga ni kipaji kile,usidhani kila mtu anaweza
 
Msaada tafadhali! Nilisahau password za account yangu ya maombi ya ajira nikajaribu kubadili ikashindikana, nikajaribu kufungua account nyingine ikafanikiwa ila kila nikiingiza index no. system inasema index number already exist. Nitumie njia gani kufanikisha maombi?
 
Reset password utumie account yako ya zamani. Mfumo haukubali mtu mmoja kuwa na account mbili tofauti
 
Back
Top Bottom