mountana
Member
- Sep 24, 2012
- 40
- 6
Nimeku dm km n kwel nijibuNatatua hilo tatizo kwa 1000
Nimeku dm km n kwel nijibuNatatua hilo tatizo kwa 1000
Mimi pia 😞View attachment 1780009
msaada ndugu, namfungulia mtu account inaniambia token expired
Umeanza kwa kujaza kwanza hizo details kabla ya ku attach vyeti?Wadau hivi huu mfumo vipi nimeondoa cheti cha chuo najaribu kutaka ku-upload yaani haitaki kabisa sehemu za ku-upload ni nyeusi nimekamilisha kote hapa ndio tatizo
View attachment 1779975
View attachment 1779976
View attachment 1779977
View attachment 1779978
Mbona changamoto kwenye mfumo wa tamisemi ni nyingi na wengi hatujui jinsi ya kuweza kusaidiwaAJIRA ZA WALIMU NA AFYA TAMISEMI 2021
Click below to download PDF: Kudownload pdf bofya chini hapo:
TANGAZO LA KAZI TAMISEMI UALIMU NA AFYA PDF
APPLICATION INSTRUCTIONS
1. If you are a new applicant, kindly click below to apply (Kwa Wanoanza Usajili):
https://ajira.tamisemi.go.tz/#/authentication/register
2. If you have already registered in the TAMISEMI system, click below to apply (Kwa Tayari Waliojisajili):
https://ajira.tamisemi.go.tz/#/authentication/login
NOTE: The TAMISEMI application system might not be opened yet, so kindly visit this page more often to apply.
Deadline for applications: 23rd May 2021
Sirahisi kama ulivyoandika ila nishafajikishaUmeanza kwa kujaza kwanza hizo details kabla ya ku attach vyeti?
Majina yaliopo kwenye cheti chako cha form four km yalivyo bhas yafanane na ulipoanza kujisajili.Na tunafanyeje ili iwe sahihi, maana inajirudisha nyuma
How mkuu tusaidie!!.Tatizo la ku-attach Transcript na Cheti cha Chuo kwa Education.
Natatua kwa 1000 nipo na Powerfully Computer
Apo sijui dah ikipendeza piga huduma kwa wateja wanaweza kusaidia kwa urahisi sanaMm nilikuwa naomba nafasi ya afisa ustawi wa jamii nikajua ipo sekta ya elimu sasa nataka nirudshe kwenye sekta ya afya nakosa sehemu ya kuedit
Apo sijui dah ikipendeza piga huduma kwa wateja wanaweza kusaidia kwa urahisi sana
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Qmmke apo mtihani ndugu, apo sijui ata jinsi ya ku edit labda kuna anae jua atatusaidiaIle namba yao shdah unapga hawapokei
Qmmke apo mtihani ndugu, apo sijui ata jinsi ya ku edit labda kuna anae jua atatusaidia
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Vikwazo vingi sana kila kona, ndo shida watu wakisha kuwa wengi kazi chacheSjui ndo njia ya kutupunguza maana Afya weng tunavikwazo sana kwenye mfumo hata ukifanikiwa unakuja kukwama kwenye machaguo daah
Vikwazo vingi sana kila kona, ndo shida watu wakisha kuwa wengi kazi chache
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Bonyeza reset password, au je umesahau nywila, utaweka zingineTuliosahau password tunafanyaje?
Shukrani mkuuBonyeza reset password, au je umesahau nywila, utaweka zingine
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Acha utaniTatizo la ku-attach Transcript na Cheti cha Chuo kwa Education.
Natatua kwa 1000 nipo na Powerfully Computer
Ujakumbana na hilo tatizo weweAcha utani