Damy dee

Member
Sep 30, 2016
82
125
Km unatumia cheti cha form four weka NECTA ,Sema ukifka kwenye kipengele cha kuhakiki ndoshida inakua hapo wanasema taarifa sio sahihi.

System haifanyi kazi inavyotakiwa, hivi watalaam wetu wa IT wameshindwa kabisa kuweka settings ambazo website mahsusi kwa ajili ya kuombe ajira ikawa haipati breakdown kama ilivyo sasa? Taarifa unajaza kwa usahihi kabisa lakini unaambiwa “particulars does not match” it sucks
 

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
May 11, 2014
2,281
2,000
System haifanyi kazi inavyotakiwa, hivi watalaam wetu wa IT wameshindwa kabisa kuweka settings ambazo website mahsusi kwa ajili ya kuombe ajira ikawa haipati breakdown kama ilivyo sasa? Taarifa unajaza kwa usahihi kabisa lakini unaambiwa “particulars does not match” it sucks
Jaribu kutumia email Mimi imekubali
 

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
1,826
2,000
We jamaa unalalamika sana aisee sijui unataka serikali ikufanyie nini sasa

Hakuna ulazima wa wewe kuingiza taarifa za kufundisha kama hujawahi kufundisha na zipo options zote kama hujawahi kufundisha/ kujitolea unaachana na kipengere hicho unaendelea na taarifa zingine mbona ipo wazi tu hiyo?

Hizo barua za kufundisha ni barua ambazo unathibitishwa na mkuu wako wa kituo ulicho kuwa ukijitolea/ukifundisha na ikowezekana ofisa elimu kata waipitishe kuthibitisha huko kujitolea kwako

sasa sijui unalalama unatakaje, ? Sasa wewe utasema ulifundisha sawa kielelezo kwamba ulifindisha ni kipi? We hutaki kiulizwe? Watajiridhishaje kwamba usha wahi fundisha au wataota kwenye ndoto?

Na ukiona shule haipo kwenye list maana yake haipo kwenye orodha ya shule zenye uhitaji wa walimu sasa ulitaka waiweke ya nini?

We kama una aina yako ya ajira unayo itaka uletewe basi acha kuomba wenye shida wataomba hizi zilizopo. Usije kupotosha watu hapa kwa jambo ambalo linatokana na uelewa wako kuwa mdogo

Yaan hapo unastress za kuto ajiliwa halafu unajiongezea misononeko iso na tija.
You know little, though you talk much.
 

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
3,619
2,000
Kwa hiyo kigezo mojawapo chakupata kazi,uwe na number ya NIDA?? Nchi ngumu hii jamani

Wangapi wana hizo number za NIDA??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom