Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Nimefika kwenye machaguo ya shule
Leteni mikeka yenu nikopi
AU niambieni shule zenye uhitaji wa mwl wa bios nijaze
 
1.Nawaona vijana wakihangaika kwa wakuu wa shule kuomba barua angalau ziwaoneshe walijitolea ktk shule hizo.Japo si kweli.
2.Kutolewa kwa kibari cha issue Kama hizi ni fursa kwa wanaotangaza amini..hata wao walikisubiri kibali hiki kwa hamu connection na michongo itawale.

MUNGU NA AKATENDE NDUGU ZANGU MPATE AJIRA NCHI NI CHANGA SANA HII WQSOMI MNAHITAJIKA Hatukufikia hatua ya degree holder mfagie barabara.
Mwanya mwingine wa rushwa huu. Hii nvhi ina viongozi wa ajabu sana sijui wanafikiria kwa kutumia nini? Isitoshe hapo Degree au PhD ya mtu mzima ilikaa ikaona vyema kuja na kigezo cha kujitolea kwenye shule za serikali. Hivi kuna mtu kweli wa kujitolea bila kulipwa hata 50,000/-? Hii inawafungulia wakuu wa shule mwanya wa tushwa tu kwa watu wanaowapa hizo barua
 
tatzo serikali haijali mkuu, kwan kuna anayejua zile 5000 zimepotelea wapi?
 
Jmn et kwa ambae amefanikiwa kuongea na watu wa tamisemi kuhusu kuattach cv tunaattach wap...nisaidien
 
Mwenye kufahamu pia na ishu ya vyeti, tunascan original inatosha au kuna ulazima wa kuCERTIFY kwa mwanasheria ndo tuscan?
Kwa aliyeweza kupiga simu wakapokea na akauliza swali hili jaman msaada
 
Jmn et kwa ambae amefanikiwa kuongea na watu wa tamisemi kuhusu kuattach cv tunaattach wap...nisaidien
Iweke kwenye PDF moja pamoja na barua, halafu iattach kwenye sehemu ya barua.

Kwenye hiyo PDF, tanguliza barua(ukurasa wa 1), ukurasa wa 2 na kuendelea weka CV
 
Sio lazima

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kasome sifa za kutuma maombi
Maelezo yao ya kuzingatia yana ukakasi, hayajaweka bayana ulazima wa kucertify, ila kama tunavyojua katika maombi mengi ya kazi huwa wanataka vyeti viwe certified.

Sasa kitendo chao hiki cha kutoweka bayana kinaleta sintofahamu kwa waombaji ambapo mtu anashindwa afuate lipi na aache lipi.

Mkuu Samaya kwenye demonstration yao kule YouTube, hawajazungumzia hili jambo?
 
Back
Top Bottom