Honorable GPA

Senior Member
Mar 31, 2019
146
250
Weka yaliyoko kwenye cheti,mi mwanzo nlikua na matatu kwa mfumo ule wa mwanzo kipindi cha marehemu jiwe,ila jana ikabidi nifuate vile mfumo unavyotaka kwa kujaza majina yaliyoko kwenye cheti,so nikaweka mawili
Uliwezaje kuondoa jina la kati mbona mimi mfumo unakataa kuliondoa!
 

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,425
2,000
Uliwezaje kuondoa jina la kati mbona mimi mfumo unakataa kuliondoa!
Nenda sehemu yenye taarifa binafsi then utaona option ya oanisha taarifa na NACTE hapo utaingiza namba yako ya mtihani na mwaka wa kumaliza ,ikiwa sahihi utaletewa pale jina lako na shule uliyosoma then utaona sehemu ya kusave ,hapo unakuwa tayari ushabadili
 

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,899
2,000
Hii shida inatokana na Nini kila nikiuplood barua, inaganda hivi
Screenshot_20210513-085929.jpg
 

Papi Chulo

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
6,270
2,000
Huyo marehemu unasema ni bora aliajiri hata mwalimu mmoja? Shukuru hata zimetoka hizo hata kama wewe usipopata wenzako wakipata sio sawa na wote mkiwa hamna ajira.

Angalau hata rafiki yako akipata unaweza kumpiga vimizinga vya hapa na pale. Kuwaga na shukrani mda mwingine bwashee.
Kupiga vimizinga ni kipaji kile,usidhani kila mtu anaweza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom