Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 791
- 551
Nahodha acha UNAFIKI. Ulikuwa wapi mpaka watu wamepoteza maisha?????
Wewe na IGP Mwema lazima mjiuzulu kuonyesha uwajibikaji. Fuateni nyayo za Rais mstaafu Mwinyi aliyejiuzulu miaka ya 1970s kwa MAUAJI YA WATU KWA TUHUMA ZA UGANGA NA UCHAWI yaliyofanywa na Jeshi la Polisi.
Kama kweli mko serious na kumaliza mgogoro huu kwa njia ya majadiliano/kusuluhisha kwa pande mbili yaani CHADEMA na CCM basi muanze KWA KUWAACHIA HURU VIONGOZI NA WANACHAMA WOTE WA CHADEMA AMBAO JESHI LA POLISI BADO LINAWASHIKILIA.
Haka kajamaa huwa nakaona kamelegealegea sana sijui hata kama kanaweza....na hata kalivyotangazwa mambo ya ndani nilijua hakataweza kabisa......haka kanaweza kula urojo peke yake......