Serikali yasitisha Mnada wa kuuza Vifaa na mali za mgodi wa Buzwagi

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,230
32,630
Mnada uliokuwa ufanyike leo Jumatatu tarehe 5/3/2018 wa kuuza mali za uliokuwa mgodi wa machimbo ya dhahabu wa Buzwagi mali ya kampuni ya Acacia ulioko mkoani Shinyanga umesitishwa na serikali..

Mgodi wa Buzwagi umesitisha mnada wa kuuza mashine na vifaa vingine, kufuatia kuwepo mkanganyiko katika taratibu za kufunga mgodi huo. Wizara ya Madini imesema taratibu za kufunga mgodi, ikiwa ni pamoja na kuijulisha serikali hazikufuatwa.

=====

Dar/Kahama. Buzwagi Mine has postponed the auctioning of its machinery and other equipment, which was scheduled for today, over confusion in the process of shutting down the mine.

The permanent secretary in the Ministry of Minerals, Prof Simon Msanjila, said that the announcement which was initially made by the company had not been communicated to the government, which he said was contrary to laid down procedures.

“Buzwagi visited our offices and were asked several questions on their planned auction, but they failed to provide answers. In short, they disregarded protocol,” the official said.

As opposed to other sectors, Prof Msanjila clarified, the process of closing down mines requires the investor to report to the government the motivation behind such closure.

“They have conceded that the person who was charged with preparing the announcement made the mistake of releasing it prematurely. We have ordered them to present the correct announcement,” said the permanent secretary.

Shinyanga regional commissioner Zainabu Tellack confirmed the postponement saying: “It is true that the auction, which had been scheduled for March 5, has been postponed.”

The mine, which is located in Kahama District in Shinyanga Region, is owned by mining giant Acacia that is currently in talks with the government over allegations of tax evasion that is said to have spanned the whole period that the company has operated in the country, stretching over two decades. Acacia is accused of evading tax, which when compounded with interest and penalties is estimated at over Sh425 trillion. In the initial talks between the government and Barrick Gold mine, Acacia’s parent company, the firm agreed to pay Sh700 billion.

Reports from within Buzwagi indicate that the auction has been halted due to a huge debt that the company owes, including to local authorities.

Kahama district director Anderson Msumba said his authority is owed by the miner Sh9 billion, accruing from service tax stretching back to its establishment, whereby it was required to pay Sh200 million annually before further making a 0.3 per cent payment of its income. “I went to the mines with the RC and found out that the auction had been postponed,” Mr Msumba said.

According to advertisements appearing in the media, Buzwagi was set to auction machinery, vehicles and other mine equipment as preparation for its eventual closure in 2020 over increasing losses.

Buzwagi communications officer Blandina Munghezi declined to speak on the matter, saying: “I have heard of the reports but I’m unable to comment as I’m currently on vacation,” she said. However, Joseph Mambia from Harvest Tanzania, which was to run the process, confirmed postponement of the auction, saying they were currently informing potential participants of the latest developments.

He said participants from Dubai, Oman, the Democratic Republic of Congo, among others, had availed themselves for the auction but after the postponement they were only allowed to inspect the assets intended for sale and leave.

Mr Mambia revealed that some participants were threatening to sue the auctioneer over expenses they incurred when readying for the auction.

Some of the requirements for viewing the items for auction included paying Sh100,000 inspection fees at the mine’s gate from March 2 to 4. Prospective buyers were also required to make a down payment equivalent to 10 per cent of the cost of the item on sale.

Following the postponement of the auction, Harvest Tanzania which had teamed up with Slattery Auctions from Australia, have published the new development on their websites.
Buzwagi calls off auction
 
Hahahahaaa....

Wakizuia kitu watu wanatoa sababu,sasa wananchi watawaza wakijuacho inaleta sintofahamu!

Maarifa!
 
Kwani mitambo ni ya serikali, mtu anauza chake useme hapana! Kuna namna hapo for sure!
Kweli, ila kuna mambo mengi ya kuangalia kwanza kabla ya uuzwaji, je wanadaiwa kodi?, stahiki zote zimelipwa? Kumbuka hawa jamaa JANJA sana, sio watu wa mchezo mchezo, ukifumba macho ukifungua imetoka!
Hawaaminiki kabisa..
Mali za Mgodi wa Buzwagi kupigwa mnada via YouTube
 
Lipo tatizo pahala,kabla ya kuweka public tangazo la mnada natumai serikali kupitia wadau TRA,Wizara madini,NEMC walijulishwa.
 
Life span ya huo Mgodi inaisha 2020, na kwa sasa shughuli zote za uchimbaji shimoni zimesitishwa sambamba na punguzo la watu wengi mwaka jana december, Machine chache ndio zimeachwa hasa zile zenye hali nzuri kwa ajili ya kulisha crusher na kwa kutumia akiba ya mchanga ulioachwa mpaka 2020. Ni kawaida kwa Migodi kuuza mali zake hasa pale Mgodi unapokaribia kufungwa au unapokuwa umeamua kubadilisha aina ya Fleet zake na system ya uchimaji labda kutoka open kwenda underground au kutoka undergound kwenda open..

ACACIA bado ni mmliki wa huo Mgodi mpaka 2020 atakapoamua vinginevyo, ACACIA anamiliki migodi mingine kama Bulyanhulu na North mara, Bulyanhulu uchimbazji umesisimama kwa sababu za rehabilitation lakini hakuna shughuli inayoendelea shimoni na wafanyakazi wengi sana walipunguzwa mwaka jana.. Kwa sasa Mgodi wa North Mara chini ya ACACIA ndio uko kwenye full operation...

Serikali iwe makini na hii migodi maana kinachoonekana ACACIA haihitaji tena kuendelea kuwepo Tanzania na ipo kwenye mazungumzo na Wachina kuwauzia migodi yake yoote ya Tanzania, Umiliki wa hii Migodi chini ya Wachina ni hatari kuliko uwepo wa ACACIA na hapa Serikali ifanye uchunguzi wa kutosha na ikiwezekana iangalie uwezekano wa kuinfluence umiliki usiende kwa mchina.. Ni vizuri pia serikali iangalia uwezekano wa kuinunua na kutafuta mtu wa kumpa afanye operation na management ya hii Migodi with international standard kama migodi mingine yenyewe ikae kusubiri Gawio kama mmiliki.
 
Vip kuhusu noah yangu ya milioni 8 ujue mie nisha ga nunua mafuta naisubilia tu hiyo ndinga
 
Bsc Mining Eng class of 2014-2018 wapewe huo mgodi. Natania mbaba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom