pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Hii serikali hii!!??
Mwananchi naye ajiandae. Mwenzako akinyolewa wewe kichwani tia maji, tunaitaji kusoma magezeti ya uhuru na Mzalendo magezeti ya chama. Mungu ibariki TanzaniaSerikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi
Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka sheria ya nchi na maadili ya uandishi wa habari na kuwa juhudi za kuwaonya na kuwaelekeza Wahariri wa gazeti hilo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa hazijazaa matunda
Taarifa ya Serikali inasema Mkurugenzi wa wa Idara ya Habari, amefuta leseni ya gazeti hilo ikiwa ni baada ya kulionya kwa zaidi ya mara 10 huku gazeti lenyewe likilazimika kuomba radhi mara mbili kwa uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma na Sheria za nchi ikiwemo kuchapisha habari za uongo, uchochozi na uzandiki
Aidha, Serikali imesema kwa mujibu wa Sheria Wachapishaji wa gazeti hilo wanayo fursa ya kuomba tena leseni kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari ili kuruhusiwa kurejea tena kuchapisha na kusambaza watakapoona wamejitafakari na kuwa tayari kufuata taratibu
View attachment 1486923
Kama zipi?Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
Hakili-akiliHata wewe kwa hakilizako ambazo hujapitia uandishi wa habari! Hivi habari ya askofu bagonza kutangaza maandamano ilikuwa yakuandikwa na waandishi hodali na wasomi na baadaye kuhaririwa na wahariri wenye weredi wa tanzania daima ?
Hii ilikuwa drama ya makusudi kukwepa aibu , maana takukuru tangia waanze kuchunguza account za chadema, moja ya mianya iliyokuwa inatumiwa na chadema kuiba fedha za rudhuku za watanzania walipa kodi ni gazeti hilo.
Saivi pesa haziendi tena. Gazeti lao halinunuliwi mitaana lakini lilikuwa likichapishwa kwakutumia fedha za rudhuku kumlida mbowe na kumnufaisha maana analimiliki yeye.
CCM inatupeleka kubaya sana.Ni kweli Mbowe hajalipa wafanyakazi wake mishahara kwa miezi sita
Sugu na Mbilinyi!Chadema nichama cha heche,mbowe, lema, msigwa, myika, na wale wakusagana wawili.
Wengine ndani ya chadema ni bendera fata upepo.
Sugu na mbilinyi ni wa daraja la pili.
Tafakari, chukua hatua.
Chadema nichama cha heche,mbowe, lema, msigwa, myika, na wale wakusagana wawili.
Wengine ndani ya chadema ni bendera fata upepo.
Sugu na mbilinyi ni wa daraja la pili.
Tafakari, chukua hatua.
Nakusalimia mkuu, mama atatuvusha?Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi