Serikali yashindwa kuajiri watumishi wa afya.....so sad! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yashindwa kuajiri watumishi wa afya.....so sad!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Feb 27, 2011.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Wakuu hizi tetesi nimezifanyia kazi na kugundua ni kweli.
  Rafiki zangu kadhaa ambao walitaka kufanya kazi kwenye hospitali za serikali wameambiwa ajira hakuna.kwa upande mwingine, kuna halmashauri nyingi hazijapata watumishi wa afya kama walivyoomba.

  Hivi nchi inaelekea wapi?tuna kazi ya kuongeza viti maalum vya ubunge badala ya kuajiri watumishi wa sekta muhimu kama afya!
  NAWASILISHA KWA UCHUNGU MKUBWA!
   
Loading...