Mkuu, shahihisho kidogo kwenye blue, ni Jela... Haki imepatikana pongezi kwa serikali
Niko nasoma gazeti la Mtanzania nalinganisha na habari hii naona vitu viwili tofauti
kuanzia leo lile gazeti lililoandika Magufuli aangukia pua ntalichukulia kama kipeperushi.
Yaani wa-Tz tuna mambo ya ajabu sana! Kesi hii kwenye huu uzi ni ya mwaka 2012, sasa kinachokuchanganya ni kitu gani? Shida yenu hamjipi muda Wa kusoma na kuelewa, mkiona kichwa cha habari tu mnakimbilia kutoa comments!
Duh!!! unashabikia issue ya 2012 wakati taarifa sahihi za August 2014 serikali imebwagwa na tunatakiwa kulipa.
Sasa hapo unanielewesha au unanitukana? WaTz mna matatizo mengi sana ndo mana mnaongozwa na mtu asiyejua kwa nini mko hivyo
Serikali ya Tz haina wanasheria!!Kila kesi inashindwa
Serikali isilipe alipe Magufuli au CCM
Serikali isilipe alipe Magufuli au CCM
ukisikia dole la kati ndioo hii kitu!
kuanzia leo lile gazeti lililoandika Magufuli aangukia pua ntalichukulia kama kipeperushi.
hatimaye serikali imeshinda kesi dhidi ya wavuvi haramu(wale wachina waliokamatwa na meli ikiwa imejaa shehena ya samaki)
leo mchana serikali imeshinda kesi hiyo...na hukumu ilikuwa hivi:
Watuhumiwa wawili ndio wamekutwa na hatia,wengine wameachiwa huru.
Hawa wawili waliokutwa na hatia mmoja inatakiwa alipe billlion 21 za kitanzania au kwenda jera miaka 20.
Mwingine naye alipe billion 1 au kwenda jera miaka kumi pia ile meli iliyokamatwa, hakimu ameridhia ombi la mawakili wa serikali kuwa itaifishwe na iwe mali ya serikali ya tanzania. (kwa sasa ile meli ipo hapa nchini, na sehemu iliyopo imeshaanza kuzama....hivyo basi nijukumu la serikali kuhakikisha meli hiyo ama inatengenezwa ama inauzwa mapema iwezekanavyo.
Hizi taarifa niza uongo..wachina wameachiwa jana/juzi na kuamuriwa warudishiwe kilakitu ikiwemo samaki wenye dhamani ya b2 na meli yao iliyozama pamoja na hati zao za kusafiria wacha kupotosha mkuu
Nakuna thread huku inayomponda magufuli , na serikali eti yangukia pua watu ni wanafki sana aisee