Serikali yashinda kesi ya samaki wa Magufuli

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
hatimaye serikali imeshinda kesi dhidi ya wavuvi haramu(wale wachina waliokamatwa na meli ikiwa imejaa shehena ya samaki)

Leo mchana serikali imeshinda kesi hiyo...na hukumu ilikuwa hivi:

Watuhumiwa wawili ndio wamekutwa na hatia,wengine wameachiwa huru.

Hawa wawili waliokutwa na hatia mmoja inatakiwa alipe billlion 21 za kitanzania au kwenda jera miaka 20.

Mwingine naye alipe billion 1 au kwenda jera miaka kumi pia ile meli iliyokamatwa, hakimu ameridhia ombi la mawakili wa serikali kuwa itaifishwe na iwe mali ya serikali ya Tanzania. (kwa sasa ile meli ipo hapa nchini, na sehemu iliyopo imeshaanza kuzama....hivyo basi nijukumu la serikali kuhakikisha meli hiyo ama inatengenezwa ama inauzwa mapema iwezekanavyo.
 
Haki imetendeka. Ila juzi kulikuwa na thread hapa kwamba meli inahujumiwa tunaweza kuishia kukuta thamani ya meli inakaribia zero! Ho kgera Magufuli juhudi zako zimezaa matunda mema. Kaza buti ikiwezekana mh. akupeleke kwenye madini na nishati (iunganishwe na maliasili na utalii) ukapatakase kwa kuwa huko ndiko maliasili ya mabilioni inanyakuliwa kila uchwao.
 
watakata rufaa, kesi itaanza upya....chezeya sheria hizi za kishenzi za tz wewe!!!
 
Nimejaribu kuangalia Penal code yangu hapa, nimeshindwa kujua wamehukumiwa kwa kosa gani kwani hii adhabu ya miaka haiendani na ratio ya pesa hizo! Hii kesi ilikua rahisi sana upande wa walalamikiwa. Mahakama km hajavurunda hapa sijui. Kivumbi chaja, hao watakimbilia ICJ!.
 
Congratulations John Magufuli and thus the ruling CCM for your commitment to protecting our national natural resources. This, in addition to the widely applauded proper handling of the constitution-making process, will even magnify the party's reputation and help revive public trust in the government.
 
mabalozi wa nchi husika za wale watuhumiwa walikuwepo pale mahakamani na kwa wale walio achiwa huru wamepokelewa kwa furaha kabisa toka kwa mabalozi wao...wameelekea gerezani kwa ajili ya kukusanya kila kilicho chao tayari kwa safari ya kurudi amakwao.Kwa upande wa pili wa mawakili watetezi wa washitakiwa wamedai watakaa chini ilikuangalia kama wanaweza kukata rufaaa(aliye sema hivyo ni wakili mmoja hapa tz maarufu kwa jina la Bendera)
 
Nimejaribu kuangalia Penal code yangu hapa, nimeshindwa kujua wamehukumiwa kwa kosa gani kwani hii adhabu ya miaka haiendani na ratio ya pesa hizo! Hii kesi ilikua rahisi sana upande wa walalamikiwa. Mahakama km hajavurunda hapa sijui. Kivumbi chaja, hao watakimbilia ICC!.

ICC deals exclusively with criminal cases. I don't see any possibility of this matter being referred there.
 
Pombe kichwa minamkubali toka kitambo, tatizo chama chake wanambania tuu.

Pombe don't wast your time and look other side of your ribs.
 
kila jambo la serikali lingekua na hatma ya kueleweka kama hili pengine tungekua mbali kidogo
 
Congratulations John Magufuli and thus the ruling CCM for your commitment to protecting our national natural resources. This, in addition to the widely applauded proper handling of the constitution-making process, will even magnify the party's reputation and help revive public trust in the government.

Mkuu wewe ndo FF??
 
duuu afadhali, HONGERA pombe!
kwanini isiwe samaki wa wizi badala ya samani wamagufuli!??
nchi hii bwana ili akishindwa ionekane magufuli kaingiza hasara!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom