Lazima hata wewe umkumbuke MagufuliWanazidi kuongeza pressure ya wananchi kudai katiba mpya.
Yeye ndo chanzo cha yote kwa kuanzisha miradi kwa pupa Ili kupata sifa awakonge waliomtangulia bila kujali tunaoumia ni sisi,dabo tozo ni matokeo ya hazina kukauka Wawekezaji walikimbia sera firishiki sasa tajiri akiwa masikini kodi utapata wapi?.Lazima hata wewe umkumbuke magufuli
Watu wameongeza tozo kwenye mafuta halafu wanashangaa viwanda vya gesi kupandisha bei ya gas wakati wanajua fika viwanda vingine vinatumia nishati hii kufanikisha kupatikana kwa gasHaya yatafika mwisho siku tukiamua kutanguliza Nchi kwanza vyama baadae, Ila kwakua tumechagua vyama kwanza.... tuendelee hivi hivi, ni hakuna kupumua hadi siku ya kudanja
Hahahaaaa....... Wa Ufipa bwashee!Wananchi wepi hao? wa Kenya ama TZ😅😅😅😅😅😅
Sasa hayo mafuta na Gas mbona havikupanda wakati wake?Yeye ndo chanzo cha yote kwa kuanzisha miradi kwa pupa Ili kupata sifa awakonge waliomtangulia bila kujali tunaoumia ni sisi,dabo tozo ni matokeo ya hazina kukauka Wawekezaji walikimbia sera firishiki sasa tajiri akiwa masikini kodi utapata wapi?.
Rais inafaa atoke familia ya matajiri au wafanyabiashara ndie anaweza kuwa na nyota ya pesa.
Wananchi wakiwa na pesa tele uwekezaji na manunuzi yataongezeka yakiongezeka, makusanyo ya kodi yataongezeka.
Wakati wake ni upiSasa hayo mafuta na Gas mbona havikupanda wakati wake?
Wewe ungepewa ukurugenzi wilaya yako ingekua ya mfano wa kuigwa.Bora umeliona hilo mkuu, yaani tunarudi kulekule kwenye kuteketeza misitu kwa kuendekeza haya mazwazwa yanayoshangaa shangaa tukija kukurupuka nchi haina mti hata mmoja.....
Hata mzunguko tu wa Dar unagharimu kutokana na mafuta kupandaHii ni kwa ajili ya mafuta Mana gharama ya kusafirisha gesi from dar to mza. Ni Bei gani mafuta tucheki difference in price
Natumai inteligensia imefanya kazi. Au huku haipo Bwashee?Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki.
Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Tusiouza sura kwenye majukwaa ya kisiasa ukurugenzi tutabaki kuusikia tu.....labda wale wenye connection.Wewe ungepewa ukurugenzi wilaya yako ingekua ya mfano wa kuigwa.