Serikali yasema itagharamia mazishi na haitokabidhi fedha kwa familia

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,778
Serikali imepokea bajeti ya mazishi ya Aquilina ya Tshs milioni 80 ila haitakabidhi fedha kwa familia isipokuwa itagharamia kila kitu.

Jana familia hio ilitengeneza bajeti kwa ajili ya mazishi mkoani Kilimanjaro yenye makadirio ya milioni 80 baada ya majadiliano na kuikabidhi kwa muwakilishi wa serikali.

WhatsApp Image 2018-02-21 at 13.07.03.jpeg
 
Serikali imepokea bajeti ya mazishi ya Aquilina ya Tshs milioni 80 ila haitakabidhi fedha kwa familia isipokuwa itagharamia kila kitu.

Jana familia hio ilitengeneza bajeti kwa ajili ya mazishi mkoani Kilimanjaro yenye makadirio ya milioni 80 baada ya majadiliano na kuikabidhi kwa muwakilishi wa serikali.
1. Magari yote yatatumiaka ya serikali na mafuta ya serikali.
2. Chakula chote kitatoka serikalini ( mchele kutoka hifadhi ya chakula, nyama kutoka ranchi za taifa, maharagwe hifadhi ya chakula ya taifa)
3. Jeneza kutoka karakana za magereza ( THey make best quality ).
4. MC na PA system tutatumia za wizara yoyote ( we have best PA systems, tunaweza azima hata TOT, we have good MC's for free).
5. Shughuli za kuchimba kaburi tutaweka vijana wa JKT na watakuja na vifaa vyote.

1. Posho ya viongozi wa seikali watakaoshiriki na kusafiri kwenda moshi msibani milioni arobaini,
2. chakula na vinywaji kwa viongozi wa serikali milioni 30,
3. posho za madereva wa serikali wakati wa shughuli nzima milioni 20.
 
Wapigaji kila upande
 
Nalo neno imeongeza fursa kwa wadau zaidi.mfano endapo magari Jeshi posho drivers,service ,wawakilishi serikali nk
 
1. Magari yote yatatumiaka ya serikali na mafuta ya serikali.
2. Chakula chote kitatoka serikalini ( mchele kutoka hifadhi ya chakula, nyama kutoka ranchi za taifa, maharagwe hifadhi ya chakula ya taifa)
3. Jeneza kutoka karakana za magereza ( THey make best quality ).
4. MC na PA system tutatumia za wizara yoyote ( we have best PA systems, tunaweza azima hata TOT, we have good MC's for free).
5. Shughuli za kuchimba kaburi tutaweka vijana wa JKT na watakuja na vifaa vyote.

1. Posho ya viongozi wa seikali watakaoshiriki na kusafiri kwenda moshi msibani milioni arobaini,
2. chakula na vinywaji kwa viongozi wa serikali milioni 30,
3. posho za madereva wa serikali wakati wa shughuli nzima milioni 20.

Hizo gharama mbona ni zaidi ya bajeti iliyotolewa na familia
 
Familia ilikosa tu watu wenye msimamo nakuendelea kuwaamini hata wale wala rambirambi

Hili jambo lingesimamiwa na wananchi naamini lingeenda murua kabisa
iyo hela inatosha wao kununua mbunge na madiwani kadhaa kwao ndo kipaumbele chao inauma sana

Kuwaamini hawa watu nisawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ona sasa ata wale wafiwa wanazidi kutoneshwa vidonda vyao

Yohana ata kama sio mtanzania kua na huruma ata na majirani zako tu
 
1. Magari yote yatatumiaka ya serikali na mafuta ya serikali.
2. Chakula chote kitatoka serikalini ( mchele kutoka hifadhi ya chakula, nyama kutoka ranchi za taifa, maharagwe hifadhi ya chakula ya taifa)
3. Jeneza kutoka karakana za magereza ( THey make best quality ).
4. MC na PA system tutatumia za wizara yoyote ( we have best PA systems, tunaweza azima hata TOT, we have good MC's for free).
5. Shughuli za kuchimba kaburi tutaweka vijana wa JKT na watakuja na vifaa vyote.

1. Posho ya viongozi wa seikali watakaoshiriki na kusafiri kwenda moshi msibani milioni arobaini,
2. chakula na vinywaji kwa viongozi wa serikali milioni 30,
3. posho za madereva wa serikali wakati wa shughuli nzima milioni 20.
Kwa bajeti yako hii ni zaidi ya milioni 80.
 
M80 NI posho kama alivyoainisha wewe huoni vyote chakula,mboga,mafuta,mc mpaka wachimbaji NI siriikali.wafiwa wataambilia pole na majonzi yasiyosahaulika.
 
Back
Top Bottom