Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,462
Mbona posho za viongozi ni zaidi ya bajeti ya warombo ? Walikataa nini kumbe nao wanapiga ?1. Magari yote yatatumiaka ya serikali na mafuta ya serikali.
2. Chakula chote kitatoka serikalini ( mchele kutoka hifadhi ya chakula, nyama kutoka ranchi za taifa, maharagwe hifadhi ya chakula ya taifa)
3. Jeneza kutoka karakana za magereza ( THey make best quality ).
4. MC na PA system tutatumia za wizara yoyote ( we have best PA systems, tunaweza azima hata TOT, we have good MC's for free).
5. Shughuli za kuchimba kaburi tutaweka vijana wa JKT na watakuja na vifaa vyote.
1. Posho ya viongozi wa seikali watakaoshiriki na kusafiri kwenda moshi msibani milioni arobaini,
2. chakula na vinywaji kwa viongozi wa serikali milioni 30,
3. posho za madereva wa serikali wakati wa shughuli nzima milioni 20.