Serikali yarejesha Safari ya ndege Tanzania-India, yaagiza ndege mpya 5

Binafsi naunga mkono mikopo Ili kuleta mzunguko Mkubwa wa pesa nchini na kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi.

Angalizo hizo pesa za mkopo zitumike kwenye maeneo yenye tija kama miundombinu ya uchumi ila sio kula na kulipia eti ndege.
Mkuu, hapo kwenye ndege hapo, Sijui walikaa wakawaza Nini mpaka kufikia hatua ya manunuzi ya midege mingine mi5 Tena!?
 
Back
Top Bottom