Serikali yapunguza bei ya saruji kwa asilimia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yapunguza bei ya saruji kwa asilimia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Oct 31, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Serikali imeingilia kati bei ya saruji nchini kwa kushusha ushuru wake inayoagizwa nje kutoka asilimia 35 mpaka 25..mbali na saruji, pia serikali itapunguza ushuru wa vifaa vingine vya ujenzi na lengo likiwa ni kusaidia watanzania wa kawaida kumudu kununua vifaa hivyo na kujenga nyumba bora za makazi....Hatua hiyo ya serikali imetangazwa mwishoni mwa wiki na waziri wa fedha, Mustapha Mkulo.....Pia Mkulo alisema serikali itadhibiti bei ya sukari ili ibaki tshs 1700/= iliyopangwa. source habari leo
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Chadema manifesto 2010 -2015 indirect implementation...!
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Tatizo CCM wameshindwa kuidhibiti shilingi na sasa 2000 kwa US D 1 kila kitu kitakwenda kombo
   
 4. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkulo kwa kweli hana jipya kwanza tumemchoka ang'oke tu
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu Mkulo simuelewi!
  Ukipunguza ushuru wa cement toka nje maana yake viwanda vya ndani vitashindana na cement ya nje as a result over a long run hawa wa ndani watalazimika kupunguza uzalishaji na hatimae kupunguza watu bila kusahau mipango yao endelevu ya kuongeza uzalishaji itakuwa crippled
  Rate ya unemployment pia itaongezeka.
  Huwa najiuliza sukari ata ikipungua vip nchini huwezi sikia itaagizwa nje ila cement lazima wataongelea kuagiza nje!Huu uhaba wa sasa ivi wa cement ni wa mda mfupi come feb to may cement inajaaga kwa maghala ya hawa jamaa zetu Tanga,Twiga
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  What else to expect from a bunch of passives... the horse has already bolted and now they're throwing their hands high in panic!!
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  CCM bin magamba si mlisema CHADEMA ni waongo kuhusu kupunguza bei ya saruji..??? mafi yenu..!

  tunataka thamani ya shillingi iwe atleast 1USD kwa Tshs 1000.
   
 8. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,071
  Likes Received: 7,553
  Trophy Points: 280
  Akishamaliza kutoa hiyo taarifa yake ya punguzo akirudi nyumbani akalala akimka itakuwa imerudi pale pale.....huwezi kudhibiti bei ya vitu vinavyoingia nchini wakati nchi yenyewe haizalishi kitu zaidi ya mafisadi mchwa, na shilingi yako inaporomoka kila uchao dhidi ya sarafu zote shindani, halafu leo analeta ngonjera za kupunguza bei?
  Hii itakuwa ni kati ya nchi za ajabu kabisa.
   
 9. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari za HABARI LEO changanya na za kwako
   
 10. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kwa nini wana punguza bei ya saruji kutoka nje,wakati Saruji inayozalishwa hapa Tz ndiyo inatumika sana?
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Sijui serikali hii ikoje:

  Wakati anatoa tamko hilo, nondo za ndani ya TZ zilikuwa ni TZS 1,500,000 kwa tani (10-20mm - last Friday - local stock) lakini leo tunafahamishwa kuwa nondo hizohizo ni TZS 1,780,000 (siku 3 baadaye).

  Alimaanisha bei zitapanda au alilenga kusemaje?

  Wanapoongelea habari kama hizi wanafuatilia utekelezaji wake au ndo kutaka kuwafanya wananchi waone kama hawana serikali thabiti?

  BTW, serikali hii kama imeweza kudhibiti bei ya mafuta, inashindwa nini katika vifaa vya ujenzi? Watanzania wataendelea kukaa kwenye 'mbavu za mbwa' mpaka lini?
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu Invisible!! serikali hii haiko kwa ajili ya wananchi ipo kwa ajili ya watu fulani fulani na interests zao. Inchi haina vita lakini matatizo ya kujitakia lukuki. Ukiwaza sana unaweza kuacha hata kufanya kazi kitu ambacho nacho siyo.
   
 13. Keneth

  Keneth Senior Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hawa jaama wameshiwa kabisa hapa angalia eti saruji inapungua huku WALIPINGA KABISA ajenda za RAIS wa TZ anayekubalika kwa wnanchi na kwa sera za CDM nimeamini lazima watekeleze sera zote ndipo waanze kutekeleza ahadi zao za AMBULANCE ZA BAJAJI NA MELI ambazo ni ndoto
   
 14. Keneth

  Keneth Senior Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ni bora kumtumikia kafiri lakini sio serikali ya JK kwakeli hivi huyu mzee nawashauli kweli au ndio wale a kina tulisoma wote kule Pugu nn
   
 15. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Huu ni uhaba wa muda tu...nadhani Mkulo ame over-react. Njowepo umenena vyema, sijua hawa wasomi wetu wanaofanya maamuzi wanafikiri vp. Juzi juzi alikuja na plan ya kuinusuru shilingi inayozidi kuporomoka sasa akiongeza tena importation ya cement hiyo shiling itastabilize lini.

  Najua uhaba huu wa cement ni kutokana na mtambo mmoja wa Twiga kutofanya kazi hivyo ikaathiri soko...lakini utatengamaa soon or later. Ukisha ruhusu importation hata kwa miezi miwili tu impact yake ni kubwa sana......hawa ni wachumi wa namna gani ambapo hata multiplier effect and trickle down effect hawazijui???
   
Loading...