MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Imebainika kwamba serikali ta jamhuri ya muungano wa Tanzania hupoteza Kiasi cha shilingi trillion 2 kila mwaka kutokana na uzembe unaofanyika katika Biashara ya mkaa nchi nzima.
Hayo yamebainika baada ya mamlaka ya utunzaji wa misitu ya asili Tanzania (TFCG)
Je kwa tathmini hii inaonesha kuwa hii Biashara ya mkaa ikisimamiwa kwa umakini na kutafutiwa namna sahihi ya jinso ya kufanyika yaweza kuleta tija na manufaaa makubwa kwa Taifa na kwa kipato cha mtu mmoja mmoja.
Hiyo ni kutokana na ukweli kwamba pato la trillion 2 kwa mwaka ni zaid ya utajiri wa Bakhresa au Mohammed Dewj (MO). Hivyo ,maana hata mapato ya makosa barabarani yanaweza kupitwa kimakusanyo na Biashara ya mkaa.
NB: Tusiidharau Biashara ya mkaa kwani ina tija na manufaaa mazuri kiuchumi na kimaendeleo.