Serikali yapokea pesa za ujenzi wa nyumba za Madaktari kutoka Global Fund | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yapokea pesa za ujenzi wa nyumba za Madaktari kutoka Global Fund

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Jan 29, 2012.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mgomo wa Madaktari umefunua mengi.
  Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Serikali imepata pesa kutoka Global Fund kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za Madaktari, haikusemwa kama ni msaada au mkopo. Tukumbuke kuwa moja ya madai ya Madaktari ni kukosa nyumba na posho za nyumba kuwa ndogo zisizotosha kulipia pango.
  Hivi kwanini Watawala waliuza nyumba za Serikali?
  Hawakujua kuwa ni kutengeneza matatizo kama haya ya Wafanyakazi wake kukosa nyumba?
   
Loading...