IoT
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 1,057
- 1,400
Mbona Waziri wa afya alilisemea hilo, naona wewe sio mfuatiliaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali acha kulialiaUnaliza swali hapa Jamiiforums au unatoa taarifa?
By the way, kazi ya copy & paste unaifanya vizuri sana!
Yaani kwa asubuhi hii umeanzisha thread zaidi ya tano!
Unahitaji nyongeza ya malipo kwa kazi unayofanya!
Kutafuta habari facebook, instagram na twitter ni kazi ngumu!
Sent from my iPhone using JamiiForums