Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Unaliza swali hapa Jamiiforums au unatoa taarifa?

By the way, kazi ya copy & paste unaifanya vizuri sana!

Yaani kwa asubuhi hii umeanzisha thread zaidi ya tano!

Unahitaji nyongeza ya malipo kwa kazi unayofanya!

Kutafuta habari facebook, instagram na twitter ni kazi ngumu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Jibu swali acha kulialia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufafanuzi wake huu, halafu michango ni hiari yako kiongozi sio kama unalazimishwa.
Screenshot_2020-05-03-09-38-05-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli concept ya serikali inayochukua kodi kwa kila raia kuomba kuchamgiwa na raia huyo huyo sijaielewa kabisa.
Kwanza serikali si iliahidi kututumikia sasa muda ndio huu wa kutimiza ahadi. Sio mambo ya kuanza kutuchangisha wananchi hawa hawa ambao tunapigwa na corona.. wangeuza hata dege moja au waka relocate pesa ya mradi mmoja ambao sio emergency lakini sio kuchangishana ..
 
Hawachelewi kuzipeleka kujengea madaraja yaliyoharibiwa na mvua za masika. Ndicho wanachowaza siku zote.

Halafu unajiuliza lile Bunge la Bajeti huwa linapitisha Bajeti ya aina gani kila mwaka wakati ujenzi wa miundombinu unategemea fedha zitokanazo na michango ya wadau mbalimbali baada tu ya majanga kuikumba nchi yetu!

Mfano mzuri ni namna fedha za tetemeko la Kagera zilivyotumika kwenye matumizi mengine badala ya kuwasaidia wahanga moja kwa moja.
 
Inapendeza sana...

Ila tatizo litakuja kwenye matumizi, zinaweza elekezwa kwenye kazi ambazo hazijakusudiwa...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom