Serikali yapokea mabehewa 72 ya kisasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Serikali imepokea mabehewa ya kisasa 50 ya mizigo na 22 ya abiria.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo,mabehewa hayo yatatumika kwa safari za Mwanza na kigoma na kwamba hakutakuwa na abiria kusimama ndani ya behewa.

CHANZO:ITV

Ni hatua nzuri na ya kupongeza lakini uchunguzi wa mchakato mzima ni vizuri ukafanywa maana huenda mafisadi wamejichotea kama kawaida yao.
 
Escrow ndio habari ya Mujini, tezi ishapitwa na wakati, mabehewa wakae nayo tu kwanza hatuna hata nauli au tutasafiri bure???
 
Escrow ndio habari ya Mujini, tezi ishapitwa na wakati, mabehewa wakae nayo tu kwanza hatuna hata nauli au tutasafiri bure???
Sijui yatakuwa yanasafiri kwa kupita hewani! Reli ya kati ishakuwa obsolete.
 
Escrow ndio habari ya Mujini, tezi ishapitwa na wakati, mabehewa wakae nayo tu kwanza hatuna hata nauli au tutasafiri bure???
Kama unakula hii kitu kamwe huwezi kuwa na akili nzuri hata kidogo unaongea ujinga mpaka basi.
 
good progress.
Kila nikisikia Tanzania imepokea mabehewa mapya huwa najiuliza mara mbili mbili yalikotoka...kama ni India napata mashaka makubwa sana! Kumbukumbu zangu zanipeleka mbaaali!
 
Tusubiri kusikia hela iloyolipwa tungepata mengine ishirini zaidi au ni mitumba iliyopakwa rangi.
Wajinga na "wapumbavu" wapo Bongo tu!
 
Serikali imethubutu imeweza na sasa inasonga mbele.

Akili ya naccm yote utafikri yanachojoleshwa vyupi!! Unaleta mabehewa kabla ya reli? Pu.mb!! Sitashangaa kama yatakuja kuozea kwenye yard za TRC bila kupiga kazi! Welcome UKAWA mtuondolee hizi kero!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom