Serikali yapinga mpango wa NGO majina ya waliokufa MV Spice Islander kuwekwa hazarani

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1][/h]Written by amini // 02/10/2011 // Habari // No comments

Hili lilikuwa Jeneza lenye kutaka watu.

[caption id="attachment_33031" align="alignnone" width="225" caption="Tukilala Wzanzibar na jumuia za kimataifa zitalala"] [/caption]Baada ya Serekali ya Smz kutowa takwimu za uongo wahanga wa msiba wa watu wao walio fariki kwa Mv Islander wamejaribu kuziomba NGo kukushanya majina ya watu wao walio fariki ili ijulikane idadi halisi na yakweli.
Kuna fununu kuwa Serekali imezitahazarisha tasisi yoyote iwashe kufanya hivyo kwa vile tume tayari imeshapewa kazi hio.
Lakushangaza jee tume ilio shaguliwa na Rais itapingana na takumu za walio fariki kuwa ni 204?.
Wahanga wa msiba wa watu wao tayari wamejitolea kwenda na ushahio wa watu wao walio fariki ktk ofosi ya tume lakini wanapigwa dane dane na kubabaishwa ili wasumbuliwe na wachane na ufuatiliaji huo.
Kuna fununu zinasema meli ya Mv Spice Islander ilikuwa iko right off hairuhusiki tena kutembea baharini na kipindi kirefu iliekwa sehemu iozeane tu.
Lakini kutokana na nchi yetu ni jaa la mazogo zogo ya Serekali kuangalia mfuko wako tu, basi tuliletewa Jeneza litembealo Baharini ili kusubiri kuja kuuwa Wzanzibar.
Wzanzibar tujiulize nikwanini meli hii ilisainiwa a.) lengo la kusaini meli iliokuwa imeshafelishwa kutembea kulikuwa na lengo gani?.
 
hii nayo mpya lakini kwa ninavoifahamu serikali yangu kwa ujuzi wao wa kucover up,hii haiwatishi
 
Back
Top Bottom